Aliyekuwa Mkuu wa usalama wa Taifa Botswana akamatwa wakati akitoka Ulaya

Botswana maisha yamewachapa nao sasa wanakula Rushwa kama Nchi zingine tuu Khama aliharibu sana Nchi kufanya uwekezaji hata mdogo tuu labda uwe una uraia wa SA kwa wengine hawataki na fursa zipo nyiingi tu hapo Kazungura maana kuna mbuga na mto Mkubwa watalii wa kumwaga...
 
Ooh Botswana inaongoza kwa demokrasia/hakuna rushwa sijui nini.

Haya sasa.
 
Back
Top Bottom