Aliyekuwa Mkuu wa usalama wa Taifa Botswana akamatwa wakati akitoka Ulaya

Tanzania hakiwezi kutokea kitu kama hicho

Hiyo serikali ina mean business
 
Huyu jamaa alikua tishio sana enzi za Khama

Watu hasa huku Bongo wajifunze vyeo hivi sio milele come what may utaondoka siku moja usifanyie watu ubaya kwa cheo tu.
 
Jamani angalieni You tube link hii na maelezo yafuatayo:

Soma na hii link: Botswana arrests ex-spy boss
Hawa wanachokifanya hata Tanzania haijawahi kukifanya kwa wapinzani.Tanzania mtu unaitwa unaenda kwa heshima ndo unawekwa ndani kama kunashida na siyo kwa kudhalilisha kama walivyofanya kwa huyu bwana.
 
Mngejifunza kutenda haki ili yasiwakute.
Kumbe wakati mwingine huwa mnaogopa, eti e?
 
Hamna jipya. Ni kazi ya upinzani kupinga. Ukiangalia kwa umakini huyu jamaa ni victim wa vita ya kisiasa kati Khama na Masisi.
Na wote chama kimoja ila upinzani ulimtumhumu lakini unakataa style iliyotumika kumkamata
 
Jamani angalieni You tube link hii na maelezo yafuatayo:

Soma na hii link: Botswana arrests ex-spy boss
Hawa wanachokifanya hata Tanzania haijawahi kukifanya kwa wapinzani.Tanzania mtu unaitwa unaenda kwa heshima ndo unawekwa ndani kama kunashida na siyo kwa kudhalilisha kama walivyofanya kwa huyu bwana.
Hayo mbona madogo ,

Ngoja huu utawala wa awamu hii uishe uone watu watakavyoikimbia Tanzania hakunaga mtenda baya aliyeponaga from revenge amini hivyo

Hata hilo dude lenu mtakujaga lionea huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama alitoa amri za kuua watu bila sababu? kma aliwatendea watu kama Lisu alivyotendewa? Nijibu please!
 
Back
Top Bottom