ipo nishaiwekambona hakuna link mkuu
kama yamekushinda waweza kwenda lakini sio lazimaunatupeleka huko tuache wenzi wetu ....
kuna watu walikuwa wanahitajindo nini Sasa unataka utuvunjie ndoa zetu ama?
kama ni korofi lazima uachike dada, sasa hiv mambo yapo wazindo nini Sasa unataka utuvunjie ndoa zetu ama?
Asante kaka nimekuelewa......kwenye red bila shaka ulimaanisha nenoMkuu inaitwa talaka si taraka!!! Asante kwa taarifa ila kama unataka kuishi maisha ya amani ni kujitahidi sana neon, kutengana, kuachana, talaka kuwa katika kichwa chako. Kuna matatizo mengi sana yanayotokana na mambo hayo matatu pindi mnapoachana in any how.
mimi siendi kwanza ndoa yangu changa hata wiki haijamaliza akuuu.[/QU ITAFIKA KIPINDI UTAIHITAJI MKUU
enhee nimeshaicopy akinitibua tu....anayo MI SIHUSIKI MKUU NISIJENIKASHITAKIWA BAADAE