Form six wa mwaka 2017 wataruhusiwa kuapply NACTE lini??

Norbert Cheyi

Member
Joined
Jun 11, 2017
Posts
86
Reaction score
44
Msaada ..Eti form six waliomaliza mwaka huu (2017)wanaruhsiwa kuapply NACTE tarehe ngap?? Maana nimejaribu nikaambiwa namba yangu ya form six haitambliki kwenye data base zao!
 
Kwa wale wanaotumia namba za form four vipi nao wameanza au
 
D
Msaada ..Eti form six waliomaliza mwaka huu (2017)wanaruhsiwa kuapply NACTE tarehe ngap?? Maana nimejaribu nikaambiwa namba yangu ya form six haitambliki kwenye data base zao!
Dogo acha mchecheto utaliwa hela zako kizembe....
Udahili unafungyliwa 22/07/2017 na unafungwa 30/08/2017
 
Back
Top Bottom