Form six mliomaliza mwaka huu, tukutane hapa

Form six mliomaliza mwaka huu, tukutane hapa

Hivi watanzania tunachelewa sana kumature au tunapeleka shule watoto wakiwa wadogo sana

Nyie wasomi wa form six,hoja yenu ni nini sasa hapa
 
sasa we watu wana mawazo juu ya kutoachaguliwa make ata chuo itakuwa tabu,,,, we** unataka mchat hapa,,,, nilijua una idea ya vyuo vizuri vya kuapply.
sasa si ndio maana wanakutana hapa ili kubadilishana mawazo!!....halafu kutochaguliwa jkt hakuna uhusiano wowote na kuchaguliwa vyuo bali matokeo yao yatakapotoka yataamua.
vijana jiachieni hapa badilishaneni mawazo na kupeana ushauri kwa kipindi hiki mnachosubiri matokeo, kutochaguliwa kwenda JKT kusiwafanye mkawa wanyonge.
 
Pia its better mkawa mnajadiliana maisha ya chuo na kipi cha msingi kufanya ktk masomo ya chuo, maana mfumo WA kusoma na matokeo ni tofauti na secondary school.
 
naomba mwenye joing ya kilangala high school anitumie jaman
 
acha haraka ww unaweza toka na division zero.wewe tuma no yako ya mtihani
 
hivi kwa sisi ambao hatujachaguliwa, inakuaje...... kuna second selection ya jkt au
 
Back
Top Bottom