Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,309 Reaction score 96,506 May 27, 2025 #21 binti kiziwi said: Mara nyingi anaweza fikiria kitu.. The moment anataka kushare na mimi nakuwa nimeshakifikiria au jana au juzi. Anaweza kuona mdada amevaa kitu fulani akakipenda, akiniona anakuta nimekivaa… Tuna aina hizi za coincidences . lost files Click to expand... Mfikirie vitu vizuri na mawazo mazuri, just in case
binti kiziwi said: Mara nyingi anaweza fikiria kitu.. The moment anataka kushare na mimi nakuwa nimeshakifikiria au jana au juzi. Anaweza kuona mdada amevaa kitu fulani akakipenda, akiniona anakuta nimekivaa… Tuna aina hizi za coincidences . lost files Click to expand... Mfikirie vitu vizuri na mawazo mazuri, just in case
lost files JF-Expert Member Joined Apr 17, 2025 Posts 656 Reaction score 1,792 May 27, 2025 #22 binti kiziwi said: 😂😂😂 Solometi manenos Ila kwanini tunagombana kila siku 🤣 I hope mi sio mkorofi. Click to expand... Haha my wapendanao ndio wagombanao,mmoja kiburi mwingine jeuri..ila mmoja akiamua ku lay low,anhaa mambo mbona swafi??ila Sasa Nani awe mpole...kasheshe
binti kiziwi said: 😂😂😂 Solometi manenos Ila kwanini tunagombana kila siku 🤣 I hope mi sio mkorofi. Click to expand... Haha my wapendanao ndio wagombanao,mmoja kiburi mwingine jeuri..ila mmoja akiamua ku lay low,anhaa mambo mbona swafi??ila Sasa Nani awe mpole...kasheshe
lost files JF-Expert Member Joined Apr 17, 2025 Posts 656 Reaction score 1,792 May 27, 2025 #23 Intelligent businessman said: Mfikirie vitu vizuri na mawazo mazuri, just in case Click to expand... We're not that intelligent bro,lol
Intelligent businessman said: Mfikirie vitu vizuri na mawazo mazuri, just in case Click to expand... We're not that intelligent bro,lol
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,309 Reaction score 96,506 May 27, 2025 #24 lost files said: We're not that intelligent bro,lol Click to expand... Namaanisha Kama mna coincidence ya kufikiria kitu kimoja, basi kisiwe kibaya maana chaweza wadhuru. binti kiziwi
lost files said: We're not that intelligent bro,lol Click to expand... Namaanisha Kama mna coincidence ya kufikiria kitu kimoja, basi kisiwe kibaya maana chaweza wadhuru. binti kiziwi
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,160 Reaction score 181,296 May 27, 2025 #25 Mributz said: Nimepangiwa oljoro Click to expand... Hata usiende km huna nia ya kuwa mjeshi, bora uende VETA.
Mributz said: Nimepangiwa oljoro Click to expand... Hata usiende km huna nia ya kuwa mjeshi, bora uende VETA.
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 13,155 Reaction score 34,563 May 27, 2025 #26 Intelligent businessman said: Namaanisha Kama mna coincidence ya kufikiria kitu kimoja, basi kisiwe kibaya maana chaweza wadhuru. binti kiziwi Click to expand... Unaakili sana shemela, mimi na pacha wangu hatuna 😅
Intelligent businessman said: Namaanisha Kama mna coincidence ya kufikiria kitu kimoja, basi kisiwe kibaya maana chaweza wadhuru. binti kiziwi Click to expand... Unaakili sana shemela, mimi na pacha wangu hatuna 😅
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,309 Reaction score 96,506 May 27, 2025 #27 binti kiziwi said: Unaakili sana shemela, mimi na pacha wangu hatuna 😅 Click to expand... Hivi akili ndio nini vile 😂 😁, sikumbuki hata kuwa nazo maana I lack some big part of it
binti kiziwi said: Unaakili sana shemela, mimi na pacha wangu hatuna 😅 Click to expand... Hivi akili ndio nini vile 😂 😁, sikumbuki hata kuwa nazo maana I lack some big part of it