Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,014
- 95,521
Mfikirie vitu vizuri na mawazo mazuri, just in caseMara nyingi anaweza fikiria kitu.. The moment anataka kushare na mimi nakuwa nimeshakifikiria au jana au juzi.
Anaweza kuona mdada amevaa kitu fulani akakipenda, akiniona anakuta nimekivaa… Tuna aina hizi za coincidences .
lost files