Uvivu tu wa kutembeza uduviHi every body
My name is abdulrazaq
Am in dsm (mbezi msuguri)
Am looking for any job during this time of waiting my results
Thanks
0718130370
We nae kama mchawi, Why jana nimeota same same thing?binti kiziwi number 4 ni moja ya underrated skill ambayo watu wanapuuza ila ukii master vizuri mjini hufi njaa...
Aongeze pia ufundi wa kupiga rangi na finishing ni skill anayoweza kuipata kwa mfupi na akaifanya akiwa chuo pia.Nakushauri muda huu ambao unasubiri matokeo ni bora ungeenda hata VETA upate ujuzi utakaokusaidia mbele ya safari kama una mfadhili wa kukusomesha. Ndani ya miezi mitatu tayari unakuwa skilled.
Kozi nzuri:
1. Udereva na ufundi mekanika | umeme wa magari
2. Computer na Mobile phone maintenance and repair.
3. Fundi welding
4. Ushonaji wa nguo
5. Fundi seremala
Nakuhakikishia ukiwa na skills kati ya hizo hata ukiwa bado chuo na baada ya kuhitimu hautashindwa kuingiza kipato chochote. Binafsi hizo 1&2 zimenifanya nisilale njaa.
Watakuja wengine kukupa michongo ya ajira.
Uchawi wake ume toka wapi?, nime Soma kwa kuweka imagination ya sauti yako, 😂 🤣We nae kama mchawi, Why jana nimeota same same thing?
Of course ni sababu nilifuatulia story ya dada mmoja ticktock! Now unaniambia what a coincidence!
Kuna kazi ya kulea mtoto mdogo ana miezi 9. Kazi ipo manzese. Reply my comment then nitakuunganisha na boss akupe job descriptionHi every body
My name is abdulrazaq
Am in dsm (mbezi msuguri)
Am looking for any job during this time of waiting my results
Thanks
0718130370
Utawataka tu si bado miez 4 tu labda ufeli🤣Sitaki
Nakuunga mkonobinti kiziwi number 4 ni moja ya underrated skill ambayo watu wanapuuza ila ukii master vizuri mjini hufi njaa...
Mara nyingi anaweza fikiria kitu.. The moment anataka kushare na mimi nakuwa nimeshakifikiria au jana au juzi.Uchawi wake ume toka wapi?, nime Soma kwa kuweka imagination ya sauti yako, 😂 🤣
Hah twin yake mtu...solo metiMara nyingi anaweza fikiria kitu.. The moment anataka kushare na mimi nakuwa nimeshakifikiria au jana au juzi.
Anaweza kuona mdada amevaa kitu fulani akakipenda, akiniona anakuta nimekivaa… Tuna aina hizi za coincidences .
lost files
😂😂😂 Solometi manenosHah twin yake mtu...solo meti