Form six leaver seeking

Form six leaver seeking

Nakushauri muda huu ambao unasubiri matokeo ni bora ungeenda hata VETA upate ujuzi utakaokusaidia mbele ya safari kama una mfadhili wa kukusomesha. Ndani ya miezi mitatu tayari unakuwa skilled.

Kozi nzuri:
1. Udereva na ufundi mekanika | umeme wa magari
2. Computer na Mobile phone maintenance and repair.
3. Fundi welding
4. Ushonaji wa nguo
5. Fundi seremala

Nakuhakikishia ukiwa na skills kati ya hizo hata ukiwa bado chuo na baada ya kuhitimu hautashindwa kuingiza kipato chochote. Binafsi hizo 1&2 zimenifanya nisilale njaa.

Watakuja wengine kukupa michongo ya ajira.
 
Unaweza angalia napo VETA kama nyumbn kuna ruhusu upate ka ujuzi mpka una join November admission unakuwa una kitu,

Work hard en good luck
 
Nakushauri muda huu ambao unasubiri matokeo ni bora ungeenda hata VETA upate ujuzi utakaokusaidia mbele ya safari kama una mfadhili wa kukusomesha. Ndani ya miezi mitatu tayari unakuwa skilled.

Kozi nzuri:
1. Udereva na ufundi mekanika | umeme wa magari
2. Computer na Mobile phone maintenance and repair.
3. Fundi welding
4. Ushonaji wa nguo
5. Fundi seremala

Nakuhakikishia ukiwa na skills kati ya hizo hata ukiwa bado chuo na baada ya kuhitimu hautashindwa kuingiza kipato chochote. Binafsi hizo 1&2 zimenifanya nisilale njaa.

Watakuja wengine kukupa michongo ya ajira.
Aongeze pia ufundi wa kupiga rangi na finishing ni skill anayoweza kuipata kwa mfupi na akaifanya akiwa chuo pia.

Elimu yetu huwa inatudumaza sana kufikiri matokeo yake tunapoteza muda mwingi kwa visivyo na maana.
 
Hi every body
My name is abdulrazaq
Am in dsm (mbezi msuguri)
Am looking for any job during this time of waiting my results
Thanks
0718130370
Kuna kazi ya kulea mtoto mdogo ana miezi 9. Kazi ipo manzese. Reply my comment then nitakuunganisha na boss akupe job description
 
Uchawi wake ume toka wapi?, nime Soma kwa kuweka imagination ya sauti yako, 😂 🤣
Mara nyingi anaweza fikiria kitu.. The moment anataka kushare na mimi nakuwa nimeshakifikiria au jana au juzi.

Anaweza kuona mdada amevaa kitu fulani akakipenda, akiniona anakuta nimekivaa… Tuna aina hizi za coincidences .

lost files
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom