Kertel JF-Expert Member May 11, 2012 5,268 4,973 May 21, 2012 #1 Habari wadau wa jf,mi ni form six leaver(PCB subjects) natafuta kibarua kwa kipindi hiki kabla ya post za vyuoni niko morogoro town
Habari wadau wa jf,mi ni form six leaver(PCB subjects) natafuta kibarua kwa kipindi hiki kabla ya post za vyuoni niko morogoro town
tindikalikali JF-Expert Member Jan 14, 2011 4,855 1,117 May 21, 2012 #2 shule za kata zimeisha huko? Au hutaki kufundisha?
Medical Dictionary JF-Expert Member Mar 12, 2012 1,060 309 May 21, 2012 #3 kaka kufundisha ndo mpango mzima..mi niform 6 leaver kama ww saivi navuta pesa shule ya kata huku kitaa..
kaka kufundisha ndo mpango mzima..mi niform 6 leaver kama ww saivi navuta pesa shule ya kata huku kitaa..