Hii system ni kwa mujibu wa sheria lakini bado hatuna kambi za kutosha kuwapa mafunzo vijana wote wanaomaliza kidato cha sita.
Na kwa sababu hakuna tafiti zilizofanyika kuonesha faida zinazopatikana kwa kuwapa mafunzo ya kijeshi,uzalishaji na uzalendo vijana wetu basi bora yapigwe chini hiyo pesa ielekezwe mahali pengine.
Kwanza miezi mitatu ni michache sana vijana hawaivi lakini pia wakija uraiani ndani ya muda mfupi wanarudia uraia wao ,wanajawa uvivu,kupenda utajiri wa harakaharaka na kupiga dili kama wanasiasa wao.
Wapige chini pesa hiyo ifanye mambo mengine.