Form one

diunal

JF-Expert Member
May 12, 2013
499
70
Je ktk maisha yako kipindi unaanza elimu ya sekondari Ni jambo gani la kufurahisha na kuhuzunisha hutosahau maishani?
 
Ndo nilipomuona msichana...nilimpenda sana...nakumbuka hadi siku niliyomuona mara ya kwanza....hadi leo niko single i cant get her off my mind,ila nilimwambia...miaka miwili iliyopita..jibu halikuwa lizuri sana....ahahhaa i've decided to live solo my whole life...mkuu, form 1 kwangu ni distinguished year of my academic life...:A S 20::A S 20: naandika kitabu kinaitwa "Nilimpenda msichana"
 
Pole sana kaka...lakin usikate tamaa.Siku moja utampata mzuri zaidi ya huyo ex - F1
 
Back
Top Bottom