Form four results 2015 yatatokaje

Kuwa mpole mambo mazuri hayataki haraka.
 
hahaaa,nkikumbuka hizi presha za kusubiria matokeo...sito sahau ilikuwa mwaka 2012 mwez wa 2 tar 08,siku ya jumatano.tokeo lilitoka.
 
hahaaa,nkikumbuka hizi presha za kusubiria matokeo...sito sahau ilikuwa mwaka 2012 mwez wa 2 tar 08,siku ya jumatano.tokeo lilitoka.
Kumbe nyie ndo wale mliofeli wote?
 
nawasubir watoto wa mtaani kwetu matokeo yao yatakuwaje
 
Nimepata tetesi yanatoka kesho tar 13 sijui ili ni kwele mwenye uhakika atujuze kesho tujiandae
 
Yalikuwa tiyari ila Yanatolewa kwenye GPA kwenda kwenye Division, Tulia MNYOLEWE!!
 
Hofu ya nini sasa if you know what you did, au unahisi wanayachakachua?
Bado wapo kwenye mchakato wa kupunguza alama za ufauli ili muonekane ufaulu umeongezeka.
Kuwa na subira.
 
Acha kuto jiamini.nisawa ukamchukua mbwa WA jilani ukaenda kumuogessha alafu baada ya kumuogesaha unashindwa rudinaye ukidai unamwogopa wakati we ndiyo uliye mfikisha halo.
 
haya hapa
angalia sasa maana naona unawashwa na kipele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…