Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
we vuta subira:mvumilivu hula mbivu.Haaaah nimepata tetesi week end hii yanatoka ni kweli hiyo
Wakuu habari
kwanza napenda kuwauliza je matokeo ya kidato cha nne mwaka 2015 yanatoka lini maana kwa mwaka jana taarifa ilikuwa inajulikana mapema ambayo ni tarehe 14 lakini kwa mwaka huu imekuwa siri sana kiasi kwamba wote tunaosubiri matokeo hayo kuwa na hofu kubwa kwa anayejua atujuze wakuu...
SUBIRI KIDOGO YATAWEKWA HADHARANI SOON.USIKOSE GAZETI LA.....!
March 23
hata sio siri,wew tu ndo hujui
hata sio siri,wew tu ndo hujui