MCHANGANUO WA SELECTION FORM FIVE AND COLLEGE'S MWAKA 2023
Kutokana na ufaulu wa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2022 kuongezeka kwa 2.9% zaidi ya ufaulu wa mwaka 2021 kumeifanya selikari kuja na mikakati madhubuti ya kuhakikisha kila mwanafunzi wa ufaulu wa juu anapewa kipaumbele
TAMISEMI imeweza kupanga selection hizo kwa makundi tofautitofauti
UFUATAO NI MCHANGANUO WA JINSI TAMISEMI ILIVOPANGA SELECTIONI HIZO
Tukianza na
1. Masomo ya Sayansi
PCB, na PCM
wakiume tutachukua kuazia daraja la I point ya 7 -15
wakike daraja la I point ya 7-17
CBG na PGM
Wakiume tutachukua mpaka daraja la II point ya 21
Wakike mpaka daraja III ya 22
2. Masomo ya Biashara
EGM na EC
Wakiume mpaka daraja II ya 21
Wakike mpaka daraja III ya 22
HGE na CBA
wakiume mpaka daraja II ya 21
wakike mpaka daraja III ya 22
3. Masomo ya sanaa
HGL,HGK, na HKL
wakiume mpaka daraja II ya 21
Wakike mpaka daraja III ya 23
4. Masomo ya Lugha
KLF
wakiume mpaka daraja II ya 21
wakike mpaka daraja III ya 23
VYUO /COLLEGE'S
1. Vyuo vya sayansi (Afya na Ufundi)
Wakiume mpaka daraja la III point ya 23
Wakike mpaka daraja IIIya 25
NB: Mwanafunzi wa sayansi watachukuliwa endapo wana D nne za masomo ya sayansi ikiwemo na Hesabu
2. Vyuo vya kati na biashara
Wakiume daraja la III point ya 25
Wakike mpaka daraja la IV point ya 26.
NB:
1. Hatutachukua
wakiume yeyote mwenye daraja la III kujinga na kidato cha tano
Wakike yeyote mwenye daraja la III point ya 24-- kujiunga na kidati cha tano
2. Hatutachukua
wakiume yeyote mwenye daraja la IV kujiunga na vyuo vyovyote vya selikari
NB: Mchakato wa kutoa selection post bado upo mbioni mtaarifiwa pindi post zitakapotoka
Imetolewa na katibu mkuu wa TAMISEMI
Dodoma
S.L.P , 11524 DAR ES SALAAM