Ya 2012 ilikuwa moto sana.2012 aseeh tutengwe kabisa cc secretarybird Poor Brain
Achana na hizo form four Fake, Zungumzia Form Four za 1998 hadi 2006.Et wanaJF kati Ya form Four Ya 2008 na 2012 ipi ilikuwa Ya moto Sana
2008 chini Ya Jumanne Maghembe
2012 chini ya Joyce Ndalichako.
Aseeh hatare sana,,Ya 2012 ilikuwa moto sana.
Naomba waniwekee Alternative To Practical ya Chemistry ya 1999 na hiyo ya 2008 na 2012Kwann msiweke hizo past papers za iyo miaka Kisha tuamue
Kweli kabisa mkuu, mwaka 2012 nakumbuka nilikuwa makamu mkuu wa shule. Yaani wanafunzi wangu walifeli vibaya mno2012 aseeh tutengwe kabisa cc secretarybird Poor Brain
Aiseee yule.mama alitaka atuue ngoja nilete paper la phy hapa uwone watu majasho ya naniliu yanavowatoka2012 aseeh tutengwe kabisa cc secretarybird Poor Brain
hizi ndio form4 asa mtu anakwambia 2012 iliyo sahishwa mara2 ili ku boost ufauluAchana na hizo form four Fake, Zungumzia Form Four za 1998 hadi 2006.
Kweli kabisa mkuu, mwaka 2012 nakumbuka nilikuwa makamu mkuu wa shule. Yaani wanafunzi wangu walifeli vibaya mno
Chuo ukasoma nini?2008 nimemaliza form 4 azania secondary. Nakumbuka pepa la hesabu lilivuja likabandikwa mpaka kwenye nguzo ya umeme mchikichini. Ilifika hatua ikabidi serikali ihailishe mtihani wa hesabu. Nilifanya maangamizi mazito sana form 5 nikapangiwa EGM mzumbe morogoro
We tunajua ni Kichwa2008 nimemaliza form 4 azania secondary. Nakumbuka pepa la hesabu lilivuja likabandikwa mpaka kwenye nguzo ya umeme mchikichini. Ilifika hatua ikabidi serikali ihailishe mtihani wa hesabu. Nilifanya maangamizi mazito sana form 5 nikapangiwa EGM mzumbe morogoro
Economics and financeChuo ukasoma nini?
VizuriEconomics and finance
na Bado anatafuta ajira,aisee kapige kura Kwa akili hizo uko nazVizuri