Forget the West - China Is New Master

Forget the West - China Is New Master

we jamaa nimekukubali haya pro west leteni list yenu ya misaada ya vyandarua vya bush na hela za NGO za kusapoti ushoga,ishu za bidhaa feki ni kosa letu TBS kwann wasizikamate?china ninachokipenda kua wako tayari kwa 50/50 deal hao barrick wanatupa asilimia ngapi?kwa dunia ya leo huwezi kuendelea peke yako lazima upatna na mtu either for teknoloji,elimu,biashara au uwekezaji hata hao wazungu wanatafuta investments za chinaUOTE=Bukyanagandi;6109940]Mkuu nasikitika kukwambia kwamba ni wachache sana watakao kuelewa, kuna watanzania wengine wanaweka pamba kweye masikio unapo zungumzia anything Chinese! We wambie kuhusu Mataifa ya magharibi na MANTRA zao zilizo pitwa na wakati i.e the so called human rights hapo mtaelewana SANA, lakini ukiwauliza hivi tangu tupate uhuru tuna kitu gani cha kujivunia kutoka nchi za magharibi kuanzia viwanda, teknolojia, mihundo mbinu nk - hapao hakuna ambaye anaweza kukupa jibu kamili wanakazania kueleza ubaya wa WACHINA tu, sina uhakika kama wanajua ni viwanda vingapi hapa Tanzania ambavyo Wachina waliwahi kuvijenga - hawana habari! Wanakazania lawama tu na ku-preach evil of communism na blessings of Capitalism bado wako kwenye mawazo ya vita baridi, wakati ma Capitalists hao hao wanao wapigia debe i.e Merikani wanakwenda kuomba msaada wa kifedha kutoka Communist Uchina ili warekebishe Uchumi wao, sijui kama hilo wanalijua!!

Watu wanasahau kwamba China iliwahi kujenga viwanda vifuatavyo nchini:Kuanzia cha nguo, majembe, madawa, silaha, Sukari na Sigara(huko Zanzibar); Reli ya uhakika, Mabarabara, Viwanja vya michezo bara na Visiwani, Mkonga wa mawasiliano, kutandaza fiber optic rings Tanzania nzima, mashule, hospitali ya kisasa ya magonjwa ya moyo/figo, maji; Silaha za kujilinda-Ndege,Vifaru,Makombola nk; Chuo cha utafiti wa Kilimo huko Morogoro; Chuo cha maofisa wa Kijeshi huko Monduli, Chuo kikuu cha Kijeshi Kunduchi nk list inazidi kuongezeka siku hadi siku na wenye macho wanaona. Sasa watuletee humu jamvini a comperable list kutoka nchi za magharibu tangu tupate uhuru, hawana!

Mkuu chuki kuhusu Wachina si ndogo, kama chuki hizi zingekuwa zinasemwa na nchi za magharibi ninge elewa lakini zinapotokana na Waswahili wenzetu nashangaa kweli kweli - eti Wachina hawaleti ajira wanasahau kwamba kiwanda cha chuma cha Liganga na Mchuchuma vikijengwa raia wengi watapata kazi si hilo tu hata Kiwanda cha mkaa wa mawe Kiwiri kitaoa ajira, ujenzi wa bandari ya Bagamoyo si raia wengi tu wata ajiriwa kuna projects nyingine nyingi zitakazo toa ajira sasa tatizo liko wapi?

Tuje kwenye baadhi ya products za Kichina: Tujaribu kuwa wakweli, hivikuna mtu anaweza kumlahumu Mchina kuhusu some low grade products ambazo waswahili wenzetu wanakwenda kuzinunua huko uchina wakijua fika kwamba products zenyewe ni low grade?? Wafanya biashara wanakuwa driven na tamaa ya kupata faida kubwa wanatoa order ya kutengenezewa mali ambayo ni of low quality wanazileta nchini na ku-rip off waswahili wenzao. Balozi wa Kichina nchini aliwahi kukemea tabia ya Wafanya biashara Waswahili wanao leta vitu cheap na kuharibia sifa nchi yao, mambo mengine bwana yaani Wachina Wahunde Magari,Locomotives, ndege za kivita, Mabomu ya nuclear, Roketi za kwenda anga za juu na binadamu leo hii mtu anakuja hapa na kusema eti Wachina awawezi kutengeneza consumer goods imara! Nenda Merikani ukangalie kwenye maduka yao ya kuhuzu White goods i.e Electrical/Electronic Machines 4 domestic use vyote vinatoka Uchina mbona huko hawalalamiki?

Eti wachina elimu yao haifahi ndio maana wanapeleka wanafunzi wao nchi za magharibi, wanaosema mambo hayo wala hawajawahi kwenda vyuo Vikuu Uchina kuona kwamba infact kuna Wanafunzi wengi tu wanao toka Nchi ya magharibi wanao soma katika vyuo Vikuu vya Uchina, yaani ukisoma mambo mengine yanayo andikwa humu jamvini mtu unaweza kufikili labda wenzetu wanapewa handouts zilizo andikwa mahususi kutoka nchi za magharibi zenye lengo moja tu - kuwapaka matope Wachina wakiwa na imani kwamba matope hayo yata-stick![/QUOTE]

d
 
[B said:
Dangote;6118668[/B]][/B] We jamaa nimekukubali haya pro west leteni list yenu ya misaada ya vyandarua vya bush na hela za NGO za kusapoti ushoga,ishu za bidhaa feki ni kosa letu TBS kwann wasizikamate?china ninachokipenda kua wako tayari kwa 50/50 deal hao barrick wanatupa asilimia ngapi?kwa dunia ya leo huwezi kuendelea peke yako lazima upatna na mtu either for teknoloji,elimu,biashara au uwekezaji hata hao wazungu wanatafuta investments za china QUOTE=Bukyanagandi;6109940]
d

Well said mkuu, habari za kuaminika ni kwamba kampuni ya Barrik mambo haya waendei vizuri - sasa hivi wako kwenye mazungumzo na Wachina i.e wanataka kuwahuzia Wachina migodi yao hapa TANZANIA!!

Watu wasilahumu Wachina kuhusu bidhaa za quality ya chini, wakulahumiwa ni wafanya biashara wa Kitanzania wanao toa order za mali afifu kimaksudi wakiwa na lengo ya kupata faida kubwa bila ya kijali Waswahili wenzao, nilisha seama humu kwamba Balozi wa Kichina aliwahi waonya wafanya biashara hao Watanzania wasio waminifu kuachana na mchezo wao mchafu, TBS nayo inapaswa kulahumiwa.
 
Wachina watatukomesha waafrika kwa ujinga wetu wakutokutaka kuvumbua mbinu zatu za kukuza uchumi tukitegemea mataifa ya nje hatari iliyopo kwa nchi tajiri kam yetu ni hao masters kuanza kutengeneza makundi ya kuwasupport ili wabaki nchini na wapewe rasilimali za kuvuna,na sisi kichwa cha samaki tumefungulia nzi,mende na papasi kila mtu yupo,Mwarabu,Mzungu,Mchina,Mhindi,Mkorea,Mjapan, kwa kweli sijui mwisho wetu tunahitaji viongozi watakaorudisha sera ya kujitegemea na kuacha kukubali kurubuniwa kutengeneza mikataba ya mikopo itakayowaumiza vizazi na vizazi kwa miradi mibovu

Froida nakubaliana na wewe asilimia mia moja. Tanzania haitaendelezwa na mzungu wala mchina wala mhindi wala mgeni yoyote toka nje ya nchi. Ni sisi wenyewe ndio wenye wajibu na uwezo wa kuiendeleza nchi yetu kwa faida yetu na vizazi vyetu vijavyo. Wazungu, wachina, wahindi, wakorea etc. wote lao moja tu kupata faida. Tofauti yao ni lugha na approach wanayotumia kututongoza ili tuwakubalie. Wazungu wanatumia ulaghai wa vyombo vyao vya fedha (IMF and World Bank) na wakati mwingine wanakuwa na kashfa za rejareja wakati wachina wanajifanya marafiki wa karibu ili kututeka. Mwisho wa siku wote wanalenga kupata malighafi zetu an kutuletea bidhaa zao toka kwao. Tuachane na hii beggar mentality tuwajibike kuendeleza nchi yetu kwa bongo na nguvu zetu wenyewe - KUJITEGEMA.
 
Jambo la msingi ambalo tungeagiza kutoka China ni uchapakazi wao na hasa msimamo wao wa kuwafilisi na kisha kuwapiga risasi wala rushwa, wabadhirifu, wauza unga na wahujumu uchumi pale wanapojulikana. Kwa sera hii ya kupiga risasi wezi tungeshapunguza sana mzigo wa kuwahudumia viongozi wastaafu ambao walifanya ubadhirifu and wizi mkubwa wa mali ya umma na sasa wanafurahia maisha kwa gharama za kodi ya wananchi.
 
Ujinga ujinga huu tutakufa masikini sana, nani kakwambia kuna nchi inajenga nchi nyingine??? tujitegemee kwa tulichonacho hapo tutaachana na mitego ya kuibiwa na nchi yoyote
 
China = the most ACTIVE silent killer of our economy we may call them Trojan horse in IT language.
 
Back
Top Bottom