Forget the West - China Is New Master

Forget the West - China Is New Master

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
[h=2]East African Business Week (Kampala)[/h]
BY FRED OKUMU, 8 APRIL 2013

Dar es Salaam — Unlike other conspicuously located diplomatic houses in Dar es Salaam; the Chinese embassy nestles in a secluded enclave in the posh Oysterbay district of the city.

Coincidentally, the place is called Kajificheni close. Kajificheni means, 'hiding place' in Swahili.

Yet, that does not mean Chinese presence in the country is negligible. As can be testified by the range of goods in the market, the 'Made in China' brand is almost everywhere. And it turns out that China's biggest 'embassy' is the market place.

Such are clever tactics of the Dragon, that while it burrows its diplomatic head quietly in a less known address, it wiggles its commercial tail menacingly at the marketplace.

Not that the Chinese are not good diplomats. They are, and that is why hand-over of the ultra-modern, Chinese-financed Mwalimu Nyerere International Conference Centre was orchestrated by no less a figure than President Xi Jinping himself.

Xi Jinping, president of the second largest economy in the world may be new in office, but the Chinese international friendship antics are not new to Tanzania. The stratagem of using big, visible, mega projects is China's oldest cooperation module. Examples abound of past relationships, from the Chinese-built TAZARA Railway line, to the ultra-modern Chinese-financed, 60-thousand-seater National Stadium.

But of course China's overtures are not limited to project financing. Apart of projects, China's another constituency, trade, is well established in Tanzania. We have a long history of trading with the Asian giant. Some most durable Chinese products have become household names.

Among these is the formidable Phoenix bicycle, which users can ride for a decade or so. In the military spheres is the Sub-Machine Gun, which Tanzania has used widely in military expeditions, both in cross-border wars and across the continent in liberation struggles.

What is new is the emergence of the many-faced China. On one hand is the China, we meet currently in the market, as opposed to the China, we have known for years. A China which churn out thousands of counterfeits into the market. It is the China from which smuggled goods slither into the country.

According to information from National Panasonic factory in Dar, some 20% of batteries in the Tanzanian market are smuggled sub-standards from China.

Less visible, though is the other China in the form of an emerging global economic giant out to strengthen and expand its empire of influence. A resource-hungry nation looking for almost all types of raw materials from minerals, timber, oils, petroleum to gas. This is the China that has joined the second scramble for Africa. This China though, will not need to send missionaries, explorers nor military conquerors. Unlike the colonial masters of old, China does not have a 'Francophone' this or 'Anglophone' that nor a 'commonwealth' of former colonies to depend on.

It just needs to either rely on its goodwill or impress new friends and strike investment, trade and bilateral cooperation pacts.

And, reading from the magnificence and grandeur of the Mwalimu Nyerere International Conference Centre, built with cutting-edge Chinese technology, China knows too well how to impress. And to entice consumers too.

Forget about the counterfeits, legal trade with China has been growing. China has become Tanzania's largest trading partner and second largest source of investment. Bilateral trade reached $2.47bn last year, up 15.2% year on year.

Chinese motorcycles have beaten Japanese brands in the market hands down. Brand like Lifan and Toyo have proved to tough, durable and powerful machineries on rough terrain. In 2010 alone, according to police Boss Said Mwema, Tanzania imported some 113,610 motorcycles from China, up from 20,117 units in 2006.

Chinese mobile phones are out competing Nokia and Samsung in the market. In a poor country like Tanzania where the majority live below the poverty line, and with over 80% of the people in rural areas, cheap phones from China are a blessing.

Still, the solid fact is that in capitalist terms, the China we are embracing for the umpteenth time is no different from the old scramblers.

China needs to trade and invest. It needs resources to feed its manufacturing machinery and goods to satisfy the king-size appetite of its swelling middle class. And it can achieve these targets only by exploiting resource bases abroad.

So with Chinese too, the country needs to tread the investment tight rope cautiously. Or else, the friendship that characterizes Sino-Tanzania relationship may not be so beneficial.

Nevertheless; the Chinese have one notable difference in that they don't have the colonial stigma attached to them. Long before 'The Scramble for and Partition of Africa', the Chinese were trading with the East African Coast on mutually beneficial terms.

And to many a regime in Africa, China offers a friendship with no conditions attached. There is no pressure from Beijing for them democratizes, forge alliances to fight enemies across the borders, nor improve human rights.

And on top of that, China has nothing to do with the World Trade Organisation, the IMF or the World Bank.

The Chinese, on the other hand, are masters of coaxing relationship. They use the codeword 'friendship', to package all their international advances. Friendship can mean anything from grants, exchange of experts, trading freely, to construction of mega projects.

And their trusted messenger - the harbinger of Chinese advent- is commerce, demonstrated by a superabundance of goods. No wonder despite the Chinese red flags hoisted around the imposing Mwalimu Nyerere International Conference Centre, and the tumultuous welcome accorded to President Xi Jinping, China is already popular in Tanzania.

Take the bodaboda trade, which relies on Chinese motorcycles. These motorbikes have created a new employment generating trade. They have opened up rural areas, sliding deep into the remotest parts of the country where not even the most daring vote-seekers ever went.

In Tanzanian, it nowadays looks as if there is a solution to almost every common man's problem from the wide range of Chinese goods. At the extreme end of these solutions lie 'Chinese breasts' and 'Chinese hips,' popular short cuts to plastic surgery, however weird they may sound.

And to cap it all, the Chinese-financed conference centre has provided a station from which Jinping delivered a speech to 'the whole of Africa'. With the launching of the conference, China has vibrated a clear signal to Western competitors that Tanzania is bound to remain its stronghold.

Incidentally, the conference stands - defiantly you may like - right opposite Umoja House, which accommodates the EU, the German Embassy and the British Embassy, sorry...High Commission.

Western 'diplomacy' on one side of the road, and Chinese 'friendship' on the other. Each side vying to impress Tanzania.

To the common Tanzanians, though it is the Chinese presence that will have enduring impact on their lives. These people don't need 'visas' or 'Green Cards,' but cheap, practical solutions to their daily problems in the form of goods. They Techno phones and Lifan motorbikes.

So while many Tanzanians were far from Dare as Salaam to witness Comrade Xi Jinping's tour; while in diplomatic protocols he was out of reach of even Dar residents; commercially speaking, the Chinese president was represented in almost every Tanzanian household, and China is here to stay.

All in all Chinese are better off ukilinganisha na nchi za kibepari ambazo zimetunyonya kwa miongo mingi... Sera za WB na IMF zimesababisha umasikini kwa nchi nyingi sana za Kiafrika, Mwalimu JKN alipingana nao sana enzi zake, Mwaka 1998 alipambana nao kiume hadi kulazimika kwenda kumuona mshauri wa uchumi wa Clinton prof Stiglitz ambaye baadae alilazimika kujiuzulu nafasi yake baada ya kusikiliza hoja za Mwalimu!
Mwaka huo huo Tanzania ililetewa sera ya Madini na ikapitishwa bila kupingwa! sera za ubinafsishaji ziliratibiwa vilivyo na Daud Ballali, kwa ufupi USA walitumia EHM wao wakiwemo BWM, Chenge, Rostam et al kuuza nchi yetu rasmi...
Thanks God Uchumi wa CHINA unakuwa kwa kasi, wanatekeleza miradi kwa wakati kama ilivyokubaliwa, Dunia nzima sasa wanaelekea China! Hata mgombea urais wa Marekani amewekeza China...Tunamshukuru Rais wetu JK ambaye kwa wanaomfahamu enzi zake Alikuwa mjamaa kweli kweli, Mzalendo alietukuka! Ameona tulipokosea, amerejesha urafiki wetu wa ukweli na WACHINA! katika hili Nampongeza kwa dhaati JK.... Balance of Power ni Muhimu sana kwa nchi changa zenye rasilimali nyingi kama Tanzania.
Equatorial Guinea Wameweza kuendelea kwa kasi ya kutisha ndani ya miaka kumi na Wachina...Miaka zaidi ya 40 ya wazungu nchi ilikuwa inanuka umasikini wa kutisha....
Wachina tunawahitaji sana kwenye machimbo ya dhahabu! wako tayari kwa 50/50 tofauti na Barrick et al....
 
Kwa kusema UKWELI ukiangalia na SIASA za JK NYERERE baada ya UHURU unaweza kutaja JINSI GANI nchi za MAGHARIBI zilivyotunyonya?

Machimbo ya Dhahabu Wachina sio wema ANGALIA jinsi walivyowadhuru Wazimbabwe huru; Wachina wamechukua yale Machimbo ya DIAMOND na kuleta Wafanyakazi wa KICHINA DHAHABU yoote inakwenda CHINA... Kitu Wazimbabwe wanapata ni LOW GRADE PRODUCTS from CHINA kama hizo simu unazozipakata zenye matatizo hata hauwezi kutuma text

Angalia kuna Investment GANI ya KICHINA nchini Imeajiri Wabongo? Don't embrace something not there... Wachina ni Communist kwahiyo ni rahisi kutupa pesa nje haziwaumi kwasababu in a long run ni wao wanafaidika;
 
By MacDonald Dzirutwe
MARANGE, Zimbabwe | Thu Dec 15, 2011 10:37am EST

(Reuters) - A Chinese mining group has denied violating human rights at Zimbabwe's Marange diamond fields where unlicensed small-scale miners have clashed with security forces in the past.

The Anjin group told Reuters on a rare visit that it planned to boost output at the high-security mining area, where even giant Baobab trees sport surveillance cameras.

Marange, 400 km (240 miles) east of Harare, has generated controversy since 20,000 small-scale miners invaded the area in 2008 and were forcibly removed by soldiers and police.

Human rights groups say up to 200 people were killed during the process, charges denied by Harare.

Human Rights Watch (HRW) said in August that police and private security employed by some mine owners were shooting, beating and using attack dogs against unlicensed miners.

"There are no human rights issues here at Anjin," Munyaradzi Machacha, a director at Anjin, told journalists during the tour.

Four companies operate the mines.

Two of them had already said reports of abuses were false: Diamond Mining Company of Zimbabwe -- a new joint venture between the government and Pure Diamond of Dubai -- and Mbada Diamonds, another joint venture between the state and a Zimbabwean investor said to be close to President Robert Mugabe.

HRW mentioned only Mbada by name but rights bodies have also accused Zimbabwean state security agencies working with Anjin of abuses.

Anjin is a joint venture between the government's Zimbabwe Mining Development Corporation and China's state-owned Anhui Foreign and Economic
Construction Company and is run mainly by Chinese nationals.

Security is tight at all the fields, with electric and alarmed security fences, flood lights and close-circuit television to stop illegal miners from sneaking in.

At least five police check points guard the highway to Marange, there are mandatory searches and armed guards with dogs patrol the area.

Rules forbid people from picking anything from the ground around the mining area.

SPY CAMERAS
Marange is a hot and arid place where temperatures soar above 40 degrees Celsius and it is home to Baobab trees as old as 200 years.

The mining firms have transplanted the trees to facilitate mining and Anjin has put spy cameras on some of them. The firm says at least five people are caught each week trying to sneak into the concession area looking for diamonds.

The Marange fields span 71,000 hectares and contain large deposits of alluvial and conglomerate diamonds - found in sedimentary rocks - but companies are only mining on some 40,000 hectares.

The mining area hums with the sound of trucks and front loaders digging the earth and sending ore to processing plants, which were imported from neighbouring South Africa.

Anjin's mine reflects the nationality of its owners with high gates decorated with guardian lions and dragons.

Some 210 Chinese are among the 1,700 workers employed by the company.

Three of the mining firms have been certified to export rough diamonds by global regulator Kimberley Process, a scheme that imposes requirements on member states to ensure gems were not obtained as spoils of conflict.

Earlier this month campaign group Global Witness pulled out of the Process, saying it was unwilling "to stop diamonds fuelling corruption and violence in Zimbabwe".

Anjin chief engineer Hu Shijie told Reuters he expected production to rise next year, from one million carats mined in the first half year of production from October 2010.

"We are looking at producing between 7 to 10 million carats," he told Reuters in an interview on Wednesday through an interpreter when asked about the production target for 2012.

"We want to put in a lot of investment to develop the
economy of this country."

Machacha told reporters that the mining firm had stockpiled 3 million carats of rough diamonds and was now selling them after the Kimberley Process allowed it to start exports last month.

He said Anjin had so far invested $310 million since it started operations in August last year.

Hu said the mining firm will commission two new diamond processing plants on Thursday, bringing the total to seven.

Wachina watatukomesha waafrika kwa ujinga wetu wakutokutaka kuvumbua mbinu zatu za kukuza uchumi tukitegemea mataifa ya nje hatari iliyopo kwa nchi tajiri kam yetu ni hao masters kuanza kutengeneza makundi ya kuwasupport ili wabaki nchini na wapewe rasilimali za kuvuna,na sisi kichwa cha samaki tumefungulia nzi,mende na papasi kila mtu yupo,Mwarabu,Mzungu,Mchina,Mhindi,Mkorea,Mjapan, kwa kweli sijui mwisho wetu tunahitaji viongozi watakaorudisha sera ya kujitegemea na kuacha kukubali kurubuniwa kutengeneza mikataba ya mikopo itakayowaumiza vizazi na vizazi kwa miradi mibovu
 
Kwa kusema UKWELI ukiangalia na SIASA za JK NYERERE baada ya UHURU unaweza kutaja JINSI GANI nchi za MAGHARIBI zilivyotunyonya?

Machimbo ya Dhahabu Wachina sio wema ANGALIA jinsi walivyowadhuru Wazimbabwe huru; Wachina wamechukua yale Machimbo ya DIAMOND na kuleta Wafanyakazi wa KICHINA DHAHABU yoote inakwenda CHINA... Kitu Wazimbabwe wanapata ni LOW GRADE PRODUCTS from CHINA kama hizo simu unazozipakata zenye matatizo hata hauwezi kutuma text

Angalia kuna Investment GANI ya KICHINA nchini Imeajiri Wabongo? Don't embrace something not there... Wachina ni Communist kwahiyo ni rahisi kutupa pesa nje haziwaumi kwasababu in a long run ni wao wanafaidika;

Kweli pembe ya ng'ombe haifichiki! Pro west huwa na penda kujificha sana kwenye haki za binadamu! mnasahau kuwa AMNEST International imehusika kwa kiasi kikubwa sana kusambaza silaha za kivita kwa makundi ya wapiganaji katika nchi zenye rasilimali nyingi... Mnasahau kuwa nchi za magharibi ndo mara zote huwa zinachakachua elections na kuwaweka vibaraka wao! mnasahu kuwa nchi za magharibi ndizo zinazoongoza kwa kuua raia wengi wasio na hatia kwenye nchi zenye rasilima wanazozitaka sana...
Zimbabwe imekumbwa na mashinikizo mengi ya kuchumi, wananchi wa Zimbabwe wametengwa kiuchumi, vikwazo walivyowekewa vimewaathiri zaidi wananchi wa kawaida kuliko mlengwa wao! hii ni akili ama ni matope? UK waliwapandikizi kipindupindu kwenye mfumo wa maji ya kunywa binadamu. Wengi pengine na wewe pia inawezekana kuwa hujui kuwa mashamba ya wazungu SA yalianza kukosa watumishi baada ya uhuru kwa Blacks wengi walianza kudai maslahi zaidi, matokeo yake walihitaji wafanyakazi kutoka zimbabwe! Hili lilifanikishwa thru vikwazo vya kiuchumi kwa Zimbabwe! Bado unazungumzia haki za binadamu mkuu?...
Wachina na Serikali za Mugabe inahaki ya kulinda investment za nchi, Industrial Diamond inayochimbwa kwa wingi inamilikiwa kwa ubia kati ya Jeshi na Kampuni ya China, Mkataba wao ni 50/50... Budget ya Ulinzi karibu yote inategemea kwa kiasi kikubwa machombo ya almasi, kila mara serikali na Jeshi wanajitahidi kuzuia uvamizi unaoratibiwa na nchi za magharibi thru NGO ....Thanks God hujuma za mataifa ya magharibi sasa hivi vinanza kupungua baada ya waafrika kugundua unafiki wao....
 
So jeshi la Zimbabwe linafanya biashara? budget ya jeshi haitoki kwenye hazina ya Taifa la Zimbabwe? Shida tupu waafrika. Na kwa nini akili zetu zimekaa kusifia misaada. Kwa nini hatuzungumzii kuangalia nguvu zetu za ndani na kinyume chake tunakuja na mbinu ile ile ya zamani eti forget west...Now go east! So pathetic.

Hao wachina wenyewe hawajiamini hadi leo institutions zao na matajiri wakubwa wanasomesha watoto wao Ulaya na Marekani...so west bado ina-influence hadi china kwenyewe.!!!
 
Vitu vizuri si vibaya kuiga mkuu, US, UK, CHINA, SA, majeshi yao huwa mara nyingi ndo chimbuko la uvumbuzi wa Technoligia, Makampuni ya kijeshi mara nyingi huwa yanafanikiwa sana kwa kuuza products zao! Russia wanaiingiza kipato kikubwa sana kupitia Jeshi. Hapa kwetu NYUMBU Tumeiua! JKT wanapeana mazoezi ya kung'oa visiki!
Back to your point, Elimu hupatikana popote pale, na ili waendelee wameweza kupeleka watu wao wasome mazuri yote ya wazungu ili baadae wawe na uwezo wa kupambana nao! Wachina wanajulikana toka zamani sana kwa ujuzi na maarifa mbali mbali, katika Quran Tukufu Waislam wanaaswa waitafute Elimu mpaka China!!!
u-superior wa elimu ya magharibi ni mtazamo wako tu ama pengine ni marketing nzuri waliyoifanya including kutuchzea akili zetu na kuona kila kizuri ni cha wazungu! Kumbuka kuwa chuo kikuu cha kwanza duniani ilikuwa africa tena Mali chini ya Mansa Kankal Mussa! Calculas na Algebra ziliasisiwa hapa africa miaka kibao iliyopita! Mambo irrigation ilianzia kwenye slopes za mt Kilimanjaro miaka dahar zilizopita...

Siwezi kushangaa kuwa wewe ni katika wale wachumi mnao endelea kunadi sera za IMF na WB plus projections za uongo! mnaambiwa kuwa inflation inadhibitiwa kwa kupewa Certificate kutoka IMF!!! Mnaambiwa kuwa uchumi mkubwa unakuwa na unafanya vizuri ila watu wanakufa kwa kukosa huduma muhimu, wananchi wanazidi kuwa mafukara...nyie mnaendelea kushangilia kuwa Uchumi unakuwa kisa mzungu kasema!....Mentally Slavery? or Mentally abused? Which way Africano!?...
 
All in all Chinese are better off ukilinganisha na nchi za kibepari ambazo zimetunyonya kwa miongo mingi... Sera za WB na IMF zimesababisha umasikini kwa nchi nyingi sana za Kiafrika, Mwalimu JKN alipingana nao sana enzi zake, Mwaka 1998 alipambana nao kiume hadi kulazimika kwenda kumuona mshauri wa uchumi wa Clinton prof Stiglitz ambaye baadae alilazimika kujiuzulu nafasi yake baada ya kusikiliza hoja za Mwalimu!
Mwaka huo huo Tanzania ililetewa sera ya Madini na ikapitishwa bila kupingwa! sera za ubinafsishaji ziliratibiwa vilivyo na Daud Ballali, kwa ufupi USA walitumia EHM wao wakiwemo BWM, Chenge, Rostam et al kuuza nchi yetu rasmi...
Thanks God Uchumi wa CHINA unakuwa kwa kasi, wanatekeleza miradi kwa wakati kama ilivyokubaliwa, Dunia nzima sasa wanaelekea China! Hata mgombea urais wa Marekani amewekeza China...Tunamshukuru Rais wetu JK ambaye kwa wanaomfahamu enzi zake Alikuwa mjamaa kweli kweli, Mzalendo alietukuka! Ameona tulipokosea, amerejesha urafiki wetu wa ukweli na WACHINA! katika hili Nampongeza kwa dhaati JK.... Balance of Power ni Muhimu sana kwa nchi changa zenye rasilimali nyingi kama Tanzania.
Equatorial Guinea Wameweza kuendelea kwa kasi ya kutisha ndani ya miaka kumi na Wachina...Miaka zaidi ya 40 ya wazungu nchi ilikuwa inanuka umasikini wa kutisha....
Wachina tunawahitaji sana kwenye machimbo ya dhahabu! wako tayari kwa 50/50 tofauti na Barrick et al....

Well SAID mkuu, be blessed - ni Watanzania wachache wenye kuliona HILO, once again BRAVO.
 
inawezekana huwajui wazungu vizur broda. wachina mara nyingi huwa hawawekez kwenye tafiti wao wanachojua ni kuiba teknolojia tu. na kukopi watu ambao naona wako vizur huko Asia kwa teknolijia na Wajapan. mi huwa kuna viwanda nawekaga oda ya viatu mji flan wanauita fujiang kile boss mwenye kiwanda anafanya ni kusafir ma Mall ya europe na us kwenda kufuata sampo. lakn pia wanawapeleka sana vijana wao kwenda kusomea design mbali mbali uzunguni. na ukitaka kujua wachina bado sana nenda majimbo ya mashariki wamechoka kama wan'gati tu wakibongo.
 
Kweli pembe ya ng'ombe haifichiki! Pro west huwa na penda kujificha sana kwenye haki za binadamu! mnasahau kuwa AMNEST International imehusika kwa kiasi kikubwa sana kusambaza silaha za kivita kwa makundi ya wapiganaji katika nchi zenye rasilimali nyingi... Mnasahau kuwa nchi za magharibi ndo mara zote huwa zinachakachua elections na kuwaweka vibaraka wao! mnasahu kuwa nchi za magharibi ndizo zinazoongoza kwa kuua raia wengi wasio na hatia kwenye nchi zenye rasilima wanazozitaka sana...
Zimbabwe imekumbwa na mashinikizo mengi ya kuchumi, wananchi wa Zimbabwe wametengwa kiuchumi, vikwazo walivyowekewa vimewaathiri zaidi wananchi wa kawaida kuliko mlengwa wao! hii ni akili ama ni matope? UK waliwapandikizi kipindupindu kwenye mfumo wa maji ya kunywa binadamu. Wengi pengine na wewe pia inawezekana kuwa hujui kuwa mashamba ya wazungu SA yalianza kukosa watumishi baada ya uhuru kwa Blacks wengi walianza kudai maslahi zaidi, matokeo yake walihitaji wafanyakazi kutoka zimbabwe! Hili lilifanikishwa thru vikwazo vya kiuchumi kwa Zimbabwe! Bado unazungumzia haki za binadamu mkuu?...
Wachina na Serikali za Mugabe inahaki ya kulinda investment za nchi, Industrial Diamond inayochimbwa kwa wingi inamilikiwa kwa ubia kati ya Jeshi na Kampuni ya China, Mkataba wao ni 50/50... Budget ya Ulinzi karibu yote inategemea kwa kiasi kikubwa machombo ya almasi, kila mara serikali na Jeshi wanajitahidi kuzuia uvamizi unaoratibiwa na nchi za magharibi thru NGO ....Thanks God hujuma za mataifa ya magharibi sasa hivi vinanza kupungua baada ya waafrika kugundua unafiki wao....

Niambie ni silaha gani zimetapakaa DUNIANI kama sio Kashelnikov 47; kila nchi hadi BONGO tunazo na zinapatikana kila kona...

Zimbabwe Farm Labors in SA walikuweo toka Zimbabwe inaitwa RHODESIA sio Sababu ya Sanctions Kama ni HIVYO then kungekuwa pia Wachimba MIGODI wanatoka Zimbwabwe as well...

Haki za BINAADAMU unazungumzia CHINA; ZIMBABWE? au BONGO? both hatuna FREEDOM of SPEECH!!!
 
Forget east and west.mkumbuke mtoto wa nngu na rockspider.hao ndio wakombozi wa nchi hii!
 
All in all Chinese are better off ukilinganisha na nchi za kibepari ambazo zimetunyonya kwa miongo mingi... Sera za WB na IMF zimesababisha umasikini kwa nchi nyingi sana za Kiafrika, Mwalimu JKN alipingana nao sana enzi zake, Mwaka 1998 alipambana nao kiume hadi kulazimika kwenda kumuona mshauri wa uchumi wa Clinton prof Stiglitz ambaye baadae alilazimika kujiuzulu nafasi yake baada ya kusikiliza hoja za Mwalimu!
Mwaka huo huo Tanzania ililetewa sera ya Madini na ikapitishwa bila kupingwa! sera za ubinafsishaji ziliratibiwa vilivyo na Daud Ballali, kwa ufupi USA walitumia EHM wao wakiwemo BWM, Chenge, Rostam et al kuuza nchi yetu rasmi...
Thanks God Uchumi wa CHINA unakuwa kwa kasi, wanatekeleza miradi kwa wakati kama ilivyokubaliwa, Dunia nzima sasa wanaelekea China! Hata mgombea urais wa Marekani amewekeza China...Tunamshukuru Rais wetu JK ambaye kwa wanaomfahamu enzi zake Alikuwa mjamaa kweli kweli, Mzalendo alietukuka! Ameona tulipokosea, amerejesha urafiki wetu wa ukweli na WACHINA! katika hili Nampongeza kwa dhaati JK.... Balance of Power ni Muhimu sana kwa nchi changa zenye rasilimali nyingi kama Tanzania.
Equatorial Guinea Wameweza kuendelea kwa kasi ya kutisha ndani ya miaka kumi na Wachina...Miaka zaidi ya 40 ya wazungu nchi ilikuwa inanuka umasikini wa kutisha....
Wachina tunawahitaji sana kwenye machimbo ya dhahabu! wako tayari kwa 50/50 tofauti na Barrick et al....

Well SAID mkuu, be blessed - ni Watanzania wachache wenye kuliona HILO, once again BRAVO.
 
Vitu vizuri si vibaya kuiga mkuu, US, UK, CHINA, SA, majeshi yao huwa mara nyingi ndo chimbuko la uvumbuzi wa Technoligia, Makampuni ya kijeshi mara nyingi huwa yanafanikiwa sana kwa kuuza products zao! .....

Siwezi kushangaa kuwa wewe ni katika wale wachumi mnao endelea kunadi sera za IMF na WB plus projections za uongo! mnaambiwa kuwa inflation inadhibitiwa kwa kupewa Certificate kutoka IMF!!! Mnaambiwa kuwa uchumi mkubwa unakuwa na unafanya vizuri ila watu wanakufa kwa kukosa huduma muhimu, wananchi wanazidi kuwa mafukara...nyie mnaendelea kushangilia kuwa Uchumi unakuwa kisa mzungu kasema!....Mentally Slavery? or Mentally abused? Which way Africano!?...

link 1. Pinda: Uchumi wa Tanzania utakua maradufu

link 2. Pinda akiri uchumi hauendani na uhalisia

link 3. Raia Mwema - Kukua kwa Uchumi na Umasikini Tanzania

link 4. WAZIRI MKUU AKUTANA NA WATANZANIA NCHINI UINGEREZA‏ - Global Publishers

link 5. Pinda: Uchumi wa Tanzania unakua maradufu
 
Kweli pembe ya ng'ombe haifichiki! Pro west huwa na penda kujificha sana kwenye haki za binadamu! mnasahau kuwa AMNEST International imehusika kwa kiasi kikubwa sana kusambaza silaha za kivita kwa makundi ya wapiganaji katika nchi zenye rasilimali nyingi... Mnasahau kuwa nchi za magharibi ndo mara zote huwa zinachakachua elections na kuwaweka vibaraka wao! mnasahu kuwa nchi za magharibi ndizo zinazoongoza kwa kuua raia wengi wasio na hatia kwenye nchi zenye rasilima wanazozitaka sana...
Zimbabwe imekumbwa na mashinikizo mengi ya kuchumi, wananchi wa Zimbabwe wametengwa kiuchumi, vikwazo walivyowekewa vimewaathiri zaidi wananchi wa kawaida kuliko mlengwa wao! hii ni akili ama ni matope? UK waliwapandikizi kipindupindu kwenye mfumo wa maji ya kunywa binadamu. Wengi pengine na wewe pia inawezekana kuwa hujui kuwa mashamba ya wazungu SA yalianza kukosa watumishi baada ya uhuru kwa Blacks wengi walianza kudai maslahi zaidi, matokeo yake walihitaji wafanyakazi kutoka zimbabwe! Hili lilifanikishwa thru vikwazo vya kiuchumi kwa Zimbabwe! Bado unazungumzia haki za binadamu mkuu?...
Wachina na Serikali za Mugabe inahaki ya kulinda investment za nchi, Industrial Diamond inayochimbwa kwa wingi inamilikiwa kwa ubia kati ya Jeshi na Kampuni ya China, Mkataba wao ni 50/50... Budget ya Ulinzi karibu yote inategemea kwa kiasi kikubwa machombo ya almasi, kila mara serikali na Jeshi wanajitahidi kuzuia uvamizi unaoratibiwa na nchi za magharibi thru NGO ....Thanks God hujuma za mataifa ya magharibi sasa hivi vinanza kupungua baada ya waafrika kugundua unafiki wao....

Mkuu nasikitika kukwambia kwamba ni wachache sana watakao kuelewa, kuna watanzania wengine wanaweka pamba kweye masikio unapo zungumzia anything Chinese! We wambie kuhusu Mataifa ya magharibi na MANTRA zao zilizo pitwa na wakati i.e the so called human rights hapo mtaelewana SANA, lakini ukiwauliza hivi tangu tupate uhuru tuna kitu gani cha kujivunia kutoka nchi za magharibi kuanzia viwanda, teknolojia, mihundo mbinu nk - hapao hakuna ambaye anaweza kukupa jibu kamili wanakazania kueleza ubaya wa WACHINA tu, sina uhakika kama wanajua ni viwanda vingapi hapa Tanzania ambavyo Wachina waliwahi kuvijenga - hawana habari! Wanakazania lawama tu na ku-preach evil of communism na blessings of Capitalism bado wako kwenye mawazo ya vita baridi, wakati ma Capitalists hao hao wanao wapigia debe i.e Merikani wanakwenda kuomba msaada wa kifedha kutoka Communist Uchina ili warekebishe Uchumi wao, sijui kama hilo wanalijua!!

Watu wanasahau kwamba China iliwahi kujenga viwanda vifuatavyo nchini:Kuanzia cha nguo, majembe, madawa, silaha, Sukari na Sigara(huko Zanzibar); Reli ya uhakika, Mabarabara, Viwanja vya michezo bara na Visiwani, Mkonga wa mawasiliano, kutandaza fiber optic rings Tanzania nzima, mashule, hospitali ya kisasa ya magonjwa ya moyo/figo, maji; Silaha za kujilinda-Ndege,Vifaru,Makombola nk; Chuo cha utafiti wa Kilimo huko Morogoro; Chuo cha maofisa wa Kijeshi huko Monduli, Chuo kikuu cha Kijeshi Kunduchi nk list inazidi kuongezeka siku hadi siku na wenye macho wanaona. Sasa watuletee humu jamvini a comperable list kutoka nchi za magharibu tangu tupate uhuru, hawana!

Mkuu chuki kuhusu Wachina si ndogo, kama chuki hizi zingekuwa zinasemwa na nchi za magharibi ninge elewa lakini zinapotokana na Waswahili wenzetu nashangaa kweli kweli - eti Wachina hawaleti ajira wanasahau kwamba kiwanda cha chuma cha Liganga na Mchuchuma vikijengwa raia wengi watapata kazi si hilo tu hata Kiwanda cha mkaa wa mawe Kiwiri kitaoa ajira, ujenzi wa bandari ya Bagamoyo si raia wengi tu wata ajiriwa kuna projects nyingine nyingi zitakazo toa ajira sasa tatizo liko wapi?

Tuje kwenye baadhi ya products za Kichina: Tujaribu kuwa wakweli, hivikuna mtu anaweza kumlahumu Mchina kuhusu some low grade products ambazo waswahili wenzetu wanakwenda kuzinunua huko uchina wakijua fika kwamba products zenyewe ni low grade?? Wafanya biashara wanakuwa driven na tamaa ya kupata faida kubwa wanatoa order ya kutengenezewa mali ambayo ni of low quality wanazileta nchini na ku-rip off waswahili wenzao. Balozi wa Kichina nchini aliwahi kukemea tabia ya Wafanya biashara Waswahili wanao leta vitu cheap na kuharibia sifa nchi yao, mambo mengine bwana yaani Wachina Wahunde Magari,Locomotives, ndege za kivita, Mabomu ya nuclear, Roketi za kwenda anga za juu na binadamu leo hii mtu anakuja hapa na kusema eti Wachina awawezi kutengeneza consumer goods imara! Nenda Merikani ukangalie kwenye maduka yao ya kuhuzu White goods i.e Electrical/Electronic Machines 4 domestic use vyote vinatoka Uchina mbona huko hawalalamiki?

Eti wachina elimu yao haifahi ndio maana wanapeleka wanafunzi wao nchi za magharibi, wanaosema mambo hayo wala hawajawahi kwenda vyuo Vikuu Uchina kuona kwamba infact kuna Wanafunzi wengi tu wanao toka Nchi ya magharibi wanao soma katika vyuo Vikuu vya Uchina, yaani ukisoma mambo mengine yanayo andikwa humu jamvini mtu unaweza kufikili labda wenzetu wanapewa handouts zilizo andikwa mahususi kutoka nchi za magharibi zenye lengo moja tu - kuwapaka matope Wachina wakiwa na imani kwamba matope hayo yata-stick!
 
Niambie ni silaha gani zimetapakaa DUNIANI kama sio Kashelnikov 47; kila nchi hadi BONGO tunazo na zinapatikana kila kona...

Zimbabwe Farm Labors in SA walikuweo toka Zimbabwe inaitwa RHODESIA sio Sababu ya Sanctions Kama ni HIVYO then kungekuwa pia Wachimba MIGODI wanatoka Zimbwabwe as well...

Haki za BINAADAMU unazungumzia CHINA; ZIMBABWE? au BONGO? both hatuna FREEDOM of SPEECH!!!
Mkuu UJINGA, MARADHI na UMASIKINI ndo maadui wetu wakuu...Hatuhitaji hayo mambo ya kizungu unayoita FREEDOM of SPEECH! Sisi hatuna haja ya kudai HAKI ZA MASHOGA KAMA WAO! why JEWS wanapush haki za mashoga zitambuliwe duniani? Think laudly...hawa wazungu wanajua wanalolitaka, wanajua kuwa mila, desturi na tamaduni za watu ukishaziharibu inakuwa rahisi sana kuwatawala! Wanajitahidi sana kuwaandama wanawake wa kiislam kwakuwa tu wanajistiri!....Back to your point, Sanctions waliyo impose kwa Zimbabwe ilikuwa fair? watu wa Rhodesia kufanyakazi kwenye mashamba ya wazungu ni sawa? kwanini wasifanye kwenye mashamba yao? US na UK mwaka 1978 waliridhia kutoa fedha za kuwalipa fidia wazungu waliokuwa wanamiliki mashamba makubwa Zimbabwe ili wananchi hususan weusi wapate ardhi inayofaa kwa kilimo! Hili halikutekelezwa mpaka pale wapigania uhuru walipovamia hayo mashamba!...Nimeshuhudia Wazimbabwe mamia kwa maelfu wakivuka mpaka na kwenda kufanya kazi za mashambani kwa ujira kiduchu sana, kiasi kidogo walichokuwa wanalipwa walikuwa wanatuma kwao kulisha familia...ni unyama ambao haumithiliki....No good kwa wazungu mkuu...Chinese are better off....
 
kwa ufupi USA walitumia EHM wao wakiwemo BWM, Chenge, Rostam et al kuuza nchi yetu rasmi...
Ngoja niiweke sawa hii kwa wale ambo imewapita

EHM - Economic Hit Man
Ni watu wanaotumwa na serikali za wakubwa ili kurubuni nchi zenye rasilimali nyingi, kujiingiza kwenye mikataba mibovu na madeni yasiyolipika, aidha kwa kuwapa rushwa viongozi, kupindua serikali halali, kuleta vita visivyoeleweka (Congo) hata kuwauwa wale wanaoleta vizingiti (RIP Mwalimu).
 
All in all Chinese are better off ukilinganisha na nchi za kibepari ambazo zimetunyonya kwa miongo mingi... Sera za WB na IMF zimesababisha umasikini kwa nchi nyingi sana za Kiafrika, Mwalimu JKN alipingana nao sana enzi zake, Mwaka 1998 alipambana nao kiume hadi kulazimika kwenda kumuona mshauri wa uchumi wa Clinton prof Stiglitz ambaye baadae alilazimika kujiuzulu nafasi yake baada ya kusikiliza hoja za Mwalimu!
Mwaka huo huo Tanzania ililetewa sera ya Madini na ikapitishwa bila kupingwa! sera za ubinafsishaji ziliratibiwa vilivyo na Daud Ballali, kwa ufupi USA walitumia EHM wao wakiwemo BWM, Chenge, Rostam et al kuuza nchi yetu rasmi...
Thanks God Uchumi wa CHINA unakuwa kwa kasi, wanatekeleza miradi kwa wakati kama ilivyokubaliwa, Dunia nzima sasa wanaelekea China! Hata mgombea urais wa Marekani amewekeza China...Tunamshukuru Rais wetu JK ambaye kwa wanaomfahamu enzi zake Alikuwa mjamaa kweli kweli, Mzalendo alietukuka! Ameona tulipokosea, amerejesha urafiki wetu wa ukweli na WACHINA! katika hili Nampongeza kwa dhaati JK.... Balance of Power ni Muhimu sana kwa nchi changa zenye rasilimali nyingi kama Tanzania.
Equatorial Guinea Wameweza kuendelea kwa kasi ya kutisha ndani ya miaka kumi na Wachina...Miaka zaidi ya 40 ya wazungu nchi ilikuwa inanuka umasikini wa kutisha....
Wachina tunawahitaji sana kwenye machimbo ya dhahabu! wako tayari kwa 50/50 tofauti na Barrick et al....

inashangaza unaposhukuru mungu kwa.kuendelea kwa china.once a slave always a slave.unafurahia kubadilishiwa bwana?umejarib kuangalia ni kias gan tunapata hasara kwa bidhaa mbaya na za kiwango cha chin.umeziona baadh ya barabara?china wameshakuwa mabepar ndugu zangu.fungueni macho achen ushabik.mshukuru mungu wako kwa nchi yako kuendelea siyo china
 
Back
Top Bottom