napenda kushauri kabla ya kuleta swali huku jaribu kupitia google kwanza upate ushauri ukiona hujaelewa ndio uje huku sasa kama hilo swali lako lipo kwenye faq ya gmail umeshindwa kwenda huko na kusoma nini cha kufanya. Kabla hujaomba msaada onyesha jitihada kidogo basiiii