Forget Magufulisation, here is the reality

Ubumuntu

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
14,382
Reaction score
10,951
The world's prosperity index has just been published. The Legatum Institute, a London-based think tank has released the 2015 prosperity index. As it has been the case for the last six years, Norway sits at the top, followed by Switzerland, Denmark, New Zealand and Sweden in the top five.

This year's index has based on eight subindexes: economy, governance, education, health, safety and security, social capital, personal freedom, and entrepreneurship and opportunity.

On the methodology, "the Index is distinctive in that it is the only global measurement of prosperity based on both income and wellbeing". "Traditionally, a nation?s prosperity has been based solely on macroeconomic indicators such as a country?s income, represented either by GDP or by average income per person (GDP per capita). However, most people would agree that prosperity is more than just the accumulation of material wealth. It is also the joy of everyday life and the prospect of being able to build an even better life in the future". You can find methodology and technical appendices at http://www.prosperity.com/#!/

What has captured me the most is Tanzania's rankings. Overall, Tanzania ranks 117 out of the 142 countries surveyed. What is more interesting is when reading the subindex rankings.

Economy: Tanzania sits at 114 out of 142
Governance: Tanzania ranks number 95 out of 142
Education: Tanzania is number 125 out of the 142 countries
Health: Tanzania sits at number 122 out of 142.
Safety and Security: Tanzania sits at 116 out of 142
Social capital: Tanzania is 78th out of the 142 countries
Personal freedom: Tanzania is 94th out of the 142 countries
Entrepreneurship and opportunity: Tanzania sits at number 116 out of 142.

Now that is the reality we need to deal with and have it in our discussions. What Magufuli is doing is okay. But, he needs to go back to the drawing board and ponder how to salvage the situation. Ways and means are all on his table and reach, he just needs to think and act like a statesman and not party man.
 
Mchango mzuri.nadhani washauri wa rais watasaidia kufikisha huu ujumbe ili aufanyie kazi
 
Sidhani kama uko realistic mkuu. Yaani survey ya mwaka mzima wa miezi 12 unaihusishaje na utawala uliokaa mwezi 1tu? JK kakaa miezi 10 na Magufuli miezi 2, ukitoa ripoti ya mwaka kwa serikali 1 hii ripoti itamhusu ile ya mwezi 1 ama ile ya miezi 10?
 
Umesoma na kuelewa kweli? Ebu rudia tena kusoma.
Na kama unaelewa 'Magufulisation' ni nini, itakuwa rahisi kuelewa zaidi.

Lakini pia, kumbuka hii ni serikali ya chama kilekile cha utawala (napendelea zaidi uongozi badala ya utawala, lakini kwa kuwa kiuhalisia ni utawala, ngoja nitumie utawala) uliopita. Kilichofanyika ni mabadiliko ya mtu anayeongoza utawala. Ingawa ni kweli kabisa, mtawala huyu akiamua kuweka maslahi ya nchi mbele, anaweza kujitofautisha na utawala uliopita. Na hii naiona ni shida: kutaka kuitenga CCM na Magufuli. 'Zigo' la CCM Magufuli hawezi kuliepuka mpaka pale atakavyotenda kama statesman.

Hivyo basi, hata kama amekaa siku 52 madarakani, haimaanishi masuala ya prosperity hayamhusu. La hasha! Hizo poor rankings zimesababishwa na serikali za chama kilichopo madarakani. Kwa kuwa Magufuli naye anatokana na chama hicho hicho, hawezi kukwepa lawama na majukumu katika hili. Kwa hiyo, nilichofanya ni kumkumbusha uhalisia uliopo mtaani. Ingawa naamini anaweza kuwa anafahamu; siyo vibaya kumkumbusha. Aweke nguvu huko kunakohitajika zaidi. Na nimeweka hilo katika kuwakumbusha fanatics wa Magufulisation kuwa uhalisia mtaani haupo kama vile wanavyotaka kuuaminisha ulimwengu.

Sasa labda nikusaidie tu: hizo rankings zinaonyesha, in fact zinathibitisha tu hali halisi ilivyo on the ground. Hii 'Magufulisation' trend ya kucheza na mindsets za waTZ kupitia media haiendani na hali halisi ilivyo. Na nikasema, majawabu yote yapo mezani kwa Magufuli. Anachopaswa kufanya ni kufikiri na kufanya maamuzi kama kiongozi mwenye kuweka maslahi mapana ya nchi na siyo chama. Hii inamaanisha hata kama ni kwa kubadili status quo iliyotengenezwa na chama, na kumjengea maadui ndani ya chama.
 
mkuu kwani yeye amesema kuwa magufuli ndio kasabibisha,kimsingi haya yote ni kutokana na utawala mbovu wa ccm kwa miaka yote
 
Mama mia. Tanzania still rank amongst LDC, income per capita far below margin. It is pathetic. kila kitu tumeboronga . Ndio maana JPM ametambua hilo na kulivalia njuga mapema.
 
Mmmmh magufuli huwezi mpima na hii kitu..... Yy ana miezi miwili unawezaje pata confidence kumlinganisha kwenye tafiti zilizofanyiwa six years? Labda umweke jk
 
Umesoma na kuelewa kweli? Ebu rudia tena kusoma.
Na kama unaelewa 'Magufulisation' ni nini, itakuwa rahisi kuelewa zaidi.

Lakini pia, kumbuka hii ni serikali ya chama kilekile cha utawala (napendelea zaidi uongozi badala ya utawala, lakini kwa kuwa kiuhalisia ni utawala, ngoja nitumie utawala) uliopita. Kilichofanyika ni mabadiliko ya mtu anayeongoza utawala. Ingawa ni kweli kabisa, mtawala huyu akiamua kuweka maslahi ya nchi mbele, anaweza kujitofautisha na utawala uliopita. Na hii naiona ni shida: kutaka kuitenga CCM na Magufuli. 'Zigo' la CCM Magufuli hawezi kuliepuka mpaka pale atakavyotenda kama statesman.

Hivyo basi, hata kama amekaa siku 52 madarakani, haimaanishi masuala ya prosperity hayamhusu. La hasha! Hizo poor rankings zimesababishwa na serikali za chama kilichopo madarakani. Kwa kuwa Magufuli naye anatokana na chama hicho hicho, hawezi kukwepa lawama na majukumu katika hili. Kwa hiyo, nilichofanya ni kumkumbusha uhalisia uliopo mtaani. Ingawa naamini anaweza kuwa anafahamu; siyo vibaya kumkumbusha. Aweke nguvu huko kunakohitajika zaidi. Na nimeweka hilo katika kuwakumbusha fanatics wa Magufulisation kuwa uhalisia mtaani haupo kama vile wanavyotaka kuuaminisha ulimwengu.

Sasa labda nikusaidie tu: hizo rankings zinaonyesha, in fact zinathibitisha tu hali halisi ilivyo on the ground. Hii 'Magufulisation' trend ya kucheza na mindsets za waTZ kupitia media haiendani na hali halisi ilivyo. Na nikasema, majawabu yote yapo mezani kwa Magufuli. Anachopaswa kufanya ni kufikiri na kufanya maamuzi kama kiongozi mwenye kuweka maslahi mapana ya nchi na siyo chama. Hii inamaanisha hata kama ni kwa kubadili status quo iliyotengenezwa na chama, na kumjengea maadui ndani ya chama.

Mkuu hapo umenena.ila mtz na elimu zetu zinazochujwa kila siku ni vigumu kukuelewa.
 
Nyie kina Rweye si ndiyo mlikuwa mnasema kila siku wakati wa Kampeni kuwa CCM ni ile ile? Sasa tangu January mpa leo Desemba Tanzania si ilikuwa inaongozwa na chama chenu? Kama kuna mambo mazuri huwa mnasifia Kikwete kwamba kayafanya basi na hili la huu utafiti ni lake na Maguli kalirithi. Halafu mbona mleta mada kaliweka vizuri tu kwamba Magufuli autumie utafiti huo kuweka mambo sawa sawa ili huko mbele ya safari mambo yaboreke zaidi. Kosa liko wapi hapo?

Hongera Nzi kwa kutuletea hii habari. Yule mwenzio alituletea ile habari ya pesa tuliyopigwa kwenye zile hatifungani za serikali kama ni habari ya kiuchunguzi toka ndani ya chama chake. Wewe umekitaja chanzo cha taarifa yako!!
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama uko realistic mkuu. Yaani survey ya mwaka mzima wa miezi 12 unaihusishaje na utawala uliokaa mwezi 1tu? JK kakaa miezi 10 na Magufuli miezi 2, ukitoa ripoti ya mwaka kwa serikali 1 hii ripoti itamhusu ile ya mwezi 1 ama ile ya miezi 10?

Nzi yupo sahihi kaka...
Issue ni ku rank country not a president. .

Akamalizia T
That is the real Magufuli afanyie kazi hayo nchi yake itoke hapo.

Ki ukweli kwa upande huu mmoja wa security bongo hata mie naona hakuna maaana.

Fungua tigo pesa weka mtaji mkubwa wazee wa boxer lazima wakufuate na smg

Fanya biashara kama 20M elekea bank hautembei hatua tano.

Ushauri wangu kwa level za usalama binafsi bora mtu uanze uangalifu mapema tu wewe kama wewe serikali ifanye mipango critical kwanza

Hizo changamoto zoote kwangu nazichukulia kama fursa.

Ukifikiria kwa upande huo prosperity unaiona hii hapa Bongo kuna prosperity saaana isipokuwa ufisadi na urasimu ulituharibu acha Magufuli atumbue kwanza wajasiriamali wanasikilizia tu Bongo shall rise
 
Last edited by a moderator:
mkuu kwani yeye amesema kuwa magufuli ndio kasabibisha,kimsingi haya yote ni kutokana na utawala mbovu wa ccm kwa miaka yote

TAWIRE BAABA TAWIRE, Kweli tunahitaji kufanya bidii kubwa sana ili angalau tusogee sogee hadi kwenye kaamsini hivi jamani.
 
Kweli na walaaniwe wanaoleta ama kuchangia matusi au maneno ya kashfa hata kwenye uzi muhimu kama huu,
 
Sidhani kama uko realistic mkuu. Yaani survey ya mwaka mzima wa miezi 12 unaihusishaje na utawala uliokaa mwezi 1tu? JK kakaa miezi 10 na Magufuli miezi 2, ukitoa ripoti ya mwaka kwa serikali 1 hii ripoti itamhusu ile ya mwezi 1 ama ile ya miezi 10?

Issue siyo Magufuli au JK issue hapa ni ilipo Tanzania kulingana na vigezo. Kwa maoni yangu hayo matokeo yanalingana 100% na maisha ya wananchi wa kawaida.

Ni matokeo ya miaka mingi ya sera zisizotekelezeka kwa sababu ya utamu wa madaraka kwa wenye madaraka na kufumbia macho mchango wa mawazo mbadala DEMOKRASIA

RUDIA

Economy: Tanzania sits at 114 out of 142 (UFISADI)
Governance: Tanzania ranks number 95 out of 142 (BORA UTAWALA WA CCM)
Education: Tanzania is number 125 out of the 142 countries (UJINGA SERA NA1 YA CCM)
Health: Tanzania sits at number 122 out of 142. KIKOMBE CHA BABU NA MATIBABU YA WATAWALA INDIA
Safety and Security: Tanzania sits at 116 out of 142 (KISIWA CHA AMANI)
Social capital: Tanzania is 78th out of the 142 countries (KUJITEGEMA)
Personal freedom: Tanzania is 94th out of the 142 countries (UHURU WA MTU BINAFSI)
Entrepreneurship and opportunity: Tanzania sits at number 116 out of 142. (FURSA NA UBUNIFU WA UJASIRIA MALI)
 
Natumaini takwimu za mwakani zitakuwa juu zaidi kama ni kila mwaka wanafanya utafiti huu
 
The world's prosperity index has just been published. The Legatum Institute, a London-based think tank has released the 2015 prosperity index. As it has been the case for the last six years, Norway sits at the top, followed by Switzerland, Denmark, New Zealand and Sweden in the top five.

This year's index has based on eight subindexes: economy, governance, education, health, safety and security, social capital, personal freedom, and entrepreneurship and opportunity.

On the methodology, "the Index is distinctive in that it is the only global measurement of prosperity based on both income and wellbeing". "Traditionally, a nation?s prosperity has been based solely on macroeconomic indicators such as a country?s income, represented either by GDP or by average income per person (GDP per capita). However, most people would agree that prosperity is more than just the accumulation of material wealth. It is also the joy of everyday life and the prospect of being able to build an even better life in the future". You can find methodology and technical appendices at http://www.prosperity.com/#!/

What has captured me the most is Tanzania's rankings. Overall, Tanzania ranks 117 out of the 142 countries surveyed. What is more interesting is when reading the subindex rankings.

Economy: Tanzania sits at 114 out of 142
Governance: Tanzania ranks number 95 out of 142
Education: Tanzania is number 125 out of the 142 countries
Health: Tanzania sits at number 122 out of 142.
Safety and Security: Tanzania sits at 116 out of 142
Social capital: Tanzania is 78th out of the 142 countries
Personal freedom: Tanzania is 94th out of the 142 countries
Entrepreneurship and opportunity: Tanzania sits at number 116 out of 142.

Now that is the reality we need to deal with and have it in our discussions. What Magufuli is doing is okay. But, he needs to go back to the drawing board and ponder how to salvage the situation. Ways and means are all on his table and reach, he just needs to think and act like a stateman and not party man.

Kwani Magufuli hajui kuhusu hilo?Mbona ktk hotuba yake ya kulifungua bunge alizungumzia kuhusu mikakati ya serikali iliyopita ya chama cha magamba (ccm) ya kuipeleka nchi ktk uchumi wa kati,akafichua kwamba malengo hayo yanaweza kufikiwa isipokuwa haitaweza kuakisi hali halisi ya maisha ya Watz, sasa yeye atahakikisha anabadili hilo ili uchumi wa kati uendane na maisha halisi ya wananchi.
 
Hii post bora kuliko zote tangu tarehe 23

Take big up mkuu

Magufulisation ni philosophy aliyoisema jENERALI ULIMWENGU
KWENYE MAKALA YAKE YA TAREHE 21 Dec
Naomba nieleze kuwa fire and fire extinguisher ni dhana itakayo leta mabadiliko akili vichwan na kuchangia na kukuza uoga tulionao utakaoweza kupandikia watu hatar kwa ustaw wa nchi baadae

Prosperity it is for generous people
Not Tanzanian

Unaondoa magamba.unaacha makapi

Vunja mfumo ulete prosperity in our country
Nchi iendelee
 
Back
Top Bottom