Ungekua muungwana ungeandika haya yote kulekule kwa
ONTARIO page mana hakuna jipya hata moja pia Pdf uliyoo attach ni sehemu ndogo sana ya forex bible, hakuna atayekuja kutoa info za forex TZ baada ya
ONTARIO sababu yeye ndo aliyetuamsha usingizini mzito na kutuonyesha njia juu ya Forex, hata kama nitakosa training yake lakini amesha nionyesha njia, Lets join newbie