Forex Tutorials for Beginners: Pitia hapa kujifunza

Status
Not open for further replies.
Mkuu huo uzi wa Bavaria naomba kuuona. Sijawahi uona..

Sent using Jamii Forums mobile app

 
Safi sana mkuu tuzidi kuongeza maarifa mpaka kieleweke aise.
 
Asante sana ngoja nisoms hii pdf mdogo mdogo
 
=========• UPDATE •==========

Nimebahatika kupata hii link ya group Maarufu kwaajili ya materials na Books kuhusu Forex Trading so nikaona si mbaya kushare nanyi tena ingawa hapo awali kuna baadhi ya wachangiaji walijitokeza kunishambulia kwa maneno makali wakidhani kwamba kila mtu anaeleta uzi au mada yoyote humu JF kuhusu Forex trading basi anamuonea wivu au Kumpinga ndugu Ontario wakati kiukweli si hivyo bali tunajaribu kusaidiana ili kuhakikisha sisi sote tunasonga mbele.

Hili ni group la TELEGRAM so ili kujiunga inabidi kwanza upakue App ya telegram kwa wale ambao watakuwa hawana.

FOREX LIBRARY

Traders Library
 
Tunashukuru sana mkuu, ukweli umetusaidia sana wengine ndio kwanza tunaipata hii.
 
Napitia izi nyanga Leo! Maarifa murua sana
 
 
 
Awali nilikuwa na wazo la kuattach kule kwenye Main thread ya Forex ila nikaona italeta usumbufu kidogo na haitokuwa rahisi kwa wengi kuweza kuipata sababu ya comments kuwa nyingi.
kweli kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…