Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 4,278
- 7,955
Hiyo inategemea na Risk appetite na target yako in a specific trade.Mkuu umeupiga mwingi mnoo! Hiv unawezaje kujua hapantapoteza kiasi fulani au ntapata hela kiasi gan endapo soko litakwenda ndivyo sivyo au kwenda kama ulivyobashiri?? Naombakufahamishwa formular
Unatafuta mtu wa kumpiga na kitu kichwaniMimi mwanzo yalinila Sana lakini siku hizi Kila siku napata faida Kama unahitaji njoo na mtaji wa laki 5 Kila siku nakupa faida ya laki na ishirini.
Hujalazimishwa ukiona umezoea kupigwa hata ukiambiwa ukweli utaona Kama unapigwa tuuUnatafuta mtu wa kumpiga na kitu kichwani
Hiyo inategemea na Risk appetite na target yako in a specific trade.
Kwenye risk appetite au utayari wa kupoteza kila mtu anachagua mwenyewe kiasi cha kupoteza endapo trade itaenda ndivyo sivyo na target inategemea na market ipoje kwa wakati huo
Mfano umeona setup ya pips 100,hapo pips 100 ndo target yako so utaamua kiasi cha kupata endapo trade itafanikiwa na kiasi cha kupoteza endapo itaenda against you kwa kutumia lotsize na stoploss labda pips 20
So hapo una target ya pips 100 na stoploss pips 20.so ukitumia lotsize ya 0.05 na trade ikaenda as planned utapata profit ya $50 kwa hizo pips 100 au na kama ikienda against you utapoteza $10 kwa hizo pips 20 au ukitumia lotsize ya 0.10 utagain $100 kwa hizo pips 100 if the trade works well au utaloose $20 kwa hizo 20 pips
So the profits and losses you get depends with your risk to reward ratios (RR) na lotsize
Nipe password na username nikutradie tunagawana profit 50%Umetoa elimu kubwa Sana ila kwa lugha rahisi Sana na yenye kueleweka kabisa....keep it up boss...sio mtu unamuuliza maoni yake kwenye suala Fulani anakuja maneno ya kanga kuwa mm sifanyi speculation...mm sio anticipatory trader...mm sio nyenyeeee...eti mm ni Reactive trader...anatumia stop loss ya mm kama hafanyi speculation....zaidi ya yote kwenye telegram channel yake....95% ya signals anazopost zinahit SL....halafu kujikinga kaweka disclaimers kibao.....Hawa mentors uchwara shida tu...
Asante mkuu kwa maelezo yako makini kwa mwana
Haha forex industry imeingiliwa na matapeli kibao wanazingua sanaUmetoa elimu kubwa Sana ila kwa lugha rahisi Sana na yenye kueleweka kabisa....keep it up boss...sio mtu unamuuliza maoni yake kwenye suala Fulani anakuja maneno ya kanga kuwa mm sifanyi speculation...mm sio anticipatory trader...mm sio nyenyeeee...eti mm ni Reactive trader...anatumia stop loss ya mm kama hafanyi speculation....zaidi ya yote kwenye telegram channel yake....95% ya signals anazopost zinahit SL....halafu kujikinga kaweka disclaimers kibao.....Hawa mentors uchwara shida tu...
Asante mkuu kwa maelezo yako makini kwa mwana
Nishatuma mkuuFanya kunitumia link PM, Kama hutojali, In exchange nami nitakupatia ya Telegram ambapo hujadili prop firms zote ili kubaini zilizobora, na zipi za kuepuka
View attachment 2064098
Nouma sana, ila wanasema kitu kama hicho ni expected kwenye tradingHabari Wakuu,
Baada ya kusoma soma sana na kujifunza Forex, na kuona mwenzangu amefanikiwa sana na Forex Trade, niliamua na mimi niingie kuyaoga haya maji kwani hamna mtu hapendi ma isha mazuri.
Nikaanza vyema na 300 USD kwa wale wanaofahamu dowjones. Nilifanikiwa kwa kweli mpaka balance ikawa kubwa 1000 USD.
Pale ndipo balaa lilipoanza kwani kabla sijfunga na kufungua macho, week iliyopita siku ambayo sitaki kuikumbuka, pale nilipofunga na kufumba na kufumbua macho, trade ilienda tofauti kabisa na kufuta balance yangu yote.
Hapa nilipo sina hamu tena ya hii kitu
Naombeni ushauri nirudi upya na nguvu au nikalime tu.
Mmc
mimi ni begginer, nimefungua demo account, lakini kila nikitaka ku place order nafeli, inaniambia not enough money, tatizo ni nini?Hiyo inategemea na Risk appetite na target yako in a specific trade.
Kwenye risk appetite au utayari wa kupoteza kila mtu anachagua mwenyewe kiasi cha kupoteza endapo trade itaenda ndivyo sivyo na target inategemea na market ipoje kwa wakati huo
Mfano umeona setup ya pips 100,hapo pips 100 ndo target yako so utaamua kiasi cha kupata endapo trade itafanikiwa na kiasi cha kupoteza endapo itaenda against you kwa kutumia lotsize na stoploss labda pips 20
So hapo una target ya pips 100 na stoploss pips 20.so ukitumia lotsize ya 0.05 na trade ikaenda as planned utapata profit ya $50 kwa hizo pips 100 au na kama ikienda against you utapoteza $10 kwa hizo pips 20 au ukitumia lotsize ya 0.10 utagain $100 kwa hizo pips 100 if the trade works well au utaloose $20 kwa hizo 20 pips
So the profits and losses you get depends with your risk to reward ratios (RR) na lotsize
Balance(margin) iliyopo haitoshi kufungua position with the specific lotsize so punguza tu lotsize au ongeza leveragemimi ni begginer, nimefungua demo account, lakini kila nikitaka ku place order nafeli, inaniambia not enough money, tatizo ni nini?
lzma angezirudisha tu zikapigwa na zenyewe fx addiction yake nomaaUngechomoa $ 500 kisha uendelee usingepigwa zote
🤣🤣🤣🤣🤣lzma angezirudisha tu zikapigwa na zenyewe fx addiction yake nomaa
Oya ni nomaa alaf tunajua kujipa moyo sana na atufati plan tunazozitaka ila katika vitu nmejifunza fx aihitaji hisia kbs🤣🤣🤣🤣🤣
Market revenge
mkuu, hapa kwenye meta trade platform, nimesajili akaunti,..lakini kwenye ku order, hiki kibattan cha kupress order, kinakuwa inactive. sasa tatizo ni nini?Balance(margin) iliyopo haitoshi kufungua position with the specific lotsize so punguza tu lotsize au ongeza leverage
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinakuwa inactive kivipi fafanua na kama ni demo we fungua tu account nyinginemkuu, hapa kwenye meta trade platform, nimesajili akaunti,..lakini kwenye ku order, hiki kibattan cha kupress order, kinakuwa inactive. sasa tatizo ni nini?
What happen isOya ni nomaa alaf tunajua kujipa moyo sana na atufati plan tunazozitaka ila katika vitu nmejifunza fx aihitaji hisia kbs
Huwezi kufanikiwa overnight mkuu.Habari Wakuu,
Baada ya kusoma soma sana na kujifunza Forex, na kuona mwenzangu amefanikiwa sana na Forex Trade, niliamua na mimi niingie kuyaoga haya maji kwani hamna mtu hapendi ma isha mazuri.
Nikaanza vyema na 300 USD kwa wale wanaofahamu dowjones. Nilifanikiwa kwa kweli mpaka balance ikawa kubwa 1000 USD.
Pale ndipo balaa lilipoanza kwani kabla sijfunga na kufungua macho, week iliyopita siku ambayo sitaki kuikumbuka, pale nilipofunga na kufumba na kufumbua macho, trade ilienda tofauti kabisa na kufuta balance yangu yote.
Hapa nilipo sina hamu tena ya hii kitu
Naombeni ushauri nirudi upya na nguvu au nikalime tu.
Mmc
Gold tamu sana😅😅😅Last week was hell... mi natrade pair moja tu Gold pekee.. nilipigwa za uso nikaclose trade zote mpaka leo sijaingia trqde yoyote sababu sijaona setups za kuelweka