PoaMkuu, unaongea sana ila nadhani haujawahi kutrade on your own. Hii ni kama ngoma ya asili, huwezi kuelewa hadi uingie ucheze. Na haujui how long I've been in business, kwa kifupi kwa stage nliopo situmii mtaji wangu, natumia mtaji wa kampuni (prop. firm trading, you can Google that). Nishavuka vihunzi vingi, me nafikiri 5-10 years there's a lot to celebrate siwezi leo nikaondoka kambini,ntakuwa nakosea. Traders wa kweli hawaongei sana, mfano huyu jamaa huwa namkubali sana, very calm na sijawahi muona akijibizana na watu ovyo ovyo tangu nijiunge na Jf enzi za P.D Proxy. Heshima yako mkuu Mwl.RCT Trading is a craft, ni sawa na ukianza kufanya muziki, you may have overnight success but in the long run lazima ujifue na ujitambue wewe ni msanii wa namna gani. Siwezi kuwaongelea rafiki zako, siwezi kujua ni traders au watu wa namna gani but personally me naona nitafia hapa. Ndio kotu nachojua mbali na yale tuliosoma vyuoni na hela nimezishika na hela nishapoteza, that's how the business is, hata casino sometimes wanaliwa na wala hawafungi biashara na kwenda kufanya mambo mengine.
Hell before paradise, huo ndio ukweli.Mkuu, unaongea sana ila nadhani haujawahi kutrade on your own. Hii ni kama ngoma ya asili, huwezi kuelewa hadi uingie ucheze. Na haujui how long I've been in business, kwa kifupi kwa stage nliopo situmii mtaji wangu, natumia mtaji wa kampuni (prop. firm trading, you can Google that). Nishavuka vihunzi vingi, me nafikiri 5-10 years there's a lot to celebrate siwezi leo nikaondoka kambini,ntakuwa nakosea. Traders wa kweli hawaongei sana, mfano huyu jamaa huwa namkubali sana, very calm na sijawahi muona akijibizana na watu ovyo ovyo tangu nijiunge na Jf enzi za P.D Proxy. Heshima yako mkuu Mwl.RCT Trading is a craft, ni sawa na ukianza kufanya muziki, you may have overnight success but in the long run lazima ujifue na ujitambue wewe ni msanii wa namna gani. Siwezi kuwaongelea rafiki zako, siwezi kujua ni traders au watu wa namna gani but personally me naona nitafia hapa. Ndio kotu nachojua mbali na yale tuliosoma vyuoni na hela nimezishika na hela nishapoteza, that's how the business is, hata casino sometimes wanaliwa na wala hawafungi biashara na kwenda kufanya mambo mengine.
Huna unachojua kaa kimyaHamna mzee
Forex ni utapeli wa kisasa wengi ninaowajua wameachana na hizo mambo na hawataki hata kusikia na walikua wananishawishi mimi kila siku nijiunge huko
Naona price inajielekeza kibla yenyewe, Bearish flag+trendline+resistance zone+moving averageMkuu marker huwa inatengeneza zone, ama high hingh and lower lows, ambapo mostly zone zikivunjwa market hurudi ku retest na kwenda juu ama chini zaidi sasa wewe kushindwa kujua market itashuka mpaka wapi hayo ni mapungufu ya skills zako sokoni
Unaweza kutumia fibo kwa confirmations zaidi View attachment 2020095
[emoji23][emoji23][emoji23]dadeki"Eat that money mkuu" tafuta zingine 300 uweke..
Ni lazima uwe billionaire huu mwaka.
Brain answersForex is not a holy grail! It's a profession like any other kutokana na maelezo yako inaonekana bado hauna muda mrefu kwenye game,forex ni biashara na ni pana,forex inahitaji KNOWLEDGE which covers all aspects of trading,kuanzia technical analysis, fundamentals trading psychology, risk management,strategy inayokufaa,risk management na mengine na inahitaji kuwekeza MUDA wako mwingi in trading, watu wanapozungua ni kuona kama forex ni sehem ya kutajirika haraka,which is wrong ukiingia kwenye hii game inahitaji moyo wa chuma na uvumilivu kwenye kipindi cha kujifunza the maana the pain of losing money is tough,kufanikiwa kwenye hii industry inatokana na mtu na mtu the minimum time mtu anaweza tumia kumaster trading ni kama miezi 6(Achana na kuwa profitable) hiyo ni safari nyingine but muhimu ni Ku master the art of trading the rest will come,so invest kwenye knowledge kwanza find your suitable strategy well kabla sijasahau unaweza ukatafuta mentor atakae kuongoza in trading (angalia usije kupigwa mentors wengi saiv ni scammers) tafuta mentor Legit wapo hapa bongo wengi tu, na Kama umechoma account moja tu unakuja kuandika uzi huku basi forex haikufai this industry requires emotional toughness.Forex is not for the weak,kila la kheri mkuu
Ningepata mtu anipatie milioni 10 niwekeze kwenye haya makitu ingekuwa poa sana maana naona kwa sasa nimeiva hasa
natafuta partner wa biashara ya samaki anayeweza kufanya biashara na Mimi ya Samaki kutoka ruvu upande was Simanjiro Manyaranjooni tufanye biashara ya samaki
NdioUnatrade indices au?
Mkuu unaweza ukanisaidia hii website please napenda nijoinHell before paradise, huo ndio ukweli.
Hio ni Discord server ya prop. firm traders wa moja ya makampuni nayoyafahamu na kujihusisha nayo somehow.
Trading is a very demand career lakini si kuwa haiwezekani.View attachment 2024911
Ningepata mtu anipatie milioni 10 niwekeze kwenye haya makitu ingekuwa poa sana maana naona kwa sasa nimeiva hasa
When it come in learning forex, [emoji2957][emoji3539][emoji3539][emoji2]Habari Wakuu,
Baada ya kusoma soma sana na kujifunza Forex, na kuona mwenzangu amefanikiwa sana na Forex Trade, niliamua na mimi niingie kuyaoga haya maji kwani hamna mtu hapendi ma isha mazuri.
Nikaanza vyema na 300 USD kwa wale wanaofahamu dowjones. Nilifanikiwa kwa kweli mpaka balance ikawa kubwa 1000 USD.
Pale ndipo balaa lilipoanza kwani kabla sijfunga na kufungua macho, week iliyopita siku ambayo sitaki kuikumbuka, pale nilipofunga na kufumba na kufumbua macho, trade ilienda tofauti kabisa na kufuta balance yangu yote.
Hapa nilipo sina hamu tena ya hii kitu
Naombeni ushauri nirudi upya na nguvu au nikalime tu.
Mmc