Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Who told you? Hakuna kama icho wale mi trainers tu na wanatumia broker mmoja wanafanha editing hawana pesa izo eti mtu ana bilio kwa. Account akae nyumba ya kupanga tena kihostel mnaumwa nyie aliambiwa atoe tu bili ya luku kama ana nyumba ,that's a game of mind to influence newbies into their training session wanapiga pesa kupitia training hapo kuna huyo elikan na sijui tembo

At the begin of last year alichukuwa vinana mia akasema mpaka mwaka uishe watakuwa washatengeneza mil 100 kila mmoja kwa nn wawili tu ndo wanajifanya wamefanikiwa 🤣🤣🤣wengine wapo wapi wanakusanya kwa training wanaingiza pesa shambani sio forex utakuwa masikini kutwa
Jeff na vijana wake wawili ni moja ya few successfully traders in this country
 
Who told you? Hakuna kama icho wale mi trainers tu na wanatumia broker mmoja wanafanha editing hawana pesa izo eti mtu ana bilio kwa. Account akae nyumba ya kupanga tena kihostel mnaumwa nyie aliambiwa atoe tu bili ya luku kama ana nyumba ,that's a game of mind to influence newbies into their training session wanapiga pesa kupitia training hapo kuna huyo elikan na sijui tembo

At the begin of last year alichukuwa vinana mia akasema mpaka mwaka uishe watakuwa washatengeneza mil 100 kila mmoja kwa nn wawili tu ndo wanajifanya wamefanikiwa wengine wapo wapi wanakusanya kwa training wanaingiza pesa shambani sio forex utakuwa masikini kutwa
Mindset yako,kwahiyo unamaanisha forex hauwez kutengeneza pesa nitext PM namba yako mkuu nikuoneshe screenshots zng achana na za jeff
 
Mindset yako,kwahiyo unamaanisha forex hauwez kutengeneza pesa nitext PM namba yako mkuu nikuoneshe screenshots zng achana na za jeff
Alikwmbia nan watu hawamake pesa umekula za wenzio hyo ni gambling watu wanaishi kwa betting wana mpaka magari na nyumba elewa then utoe mawazo
 
Wakuu nimekuwa nikifanya hizi kitu zote mbili kwa pamoja. I mean forex na na betting na nimekuja gundua hata forex nayo ni betting tu in another system huku tunabet mechi kule tunabet currency.

Tofauti nyingine ni msamiati tu huku pips huku odds huku evaluation huku technical and fundamental analysis huku kuchana mkeka uku kuchoma account.

Huku kubet mechi chache, huku stop loss.

Huku take profit uku cash out aisee wakuu tupige kazi tu hizi system za mabeberu zitatupa ulcers bure.

Wakati sasa tukiona fursa wao hata hawajsumbui nazo ni wachache tu nyumbu wenzetu wa huko ndo kwa mbali wajishugulisha nazo aiseee tupige manual work zetu kwa outcome ya uhakika.

NB: Dunia haijawahi kuwa na bilionea from gambling we endelea tu na daydream zake.

Forex ni betting iyoch.

Wataalamu wa forex karibuni sana kwenye uzi mtoe maoni yenu.

Hii forex kama huna 5000$ and above as capital utalia tu nakwambia utalia tu labda roho mtakatifu alitangulie yani kila oki-open trade ni kupata na kupatwa unaingiza leo kesho wanachukua yaani ni kutiwa moyo kwa vifaida vidogo vidogo tu ila uskimbie wakpige kisawasawa.
"FOREX is not for everyone "

Naona ulisahau huo msemo .
 
You are surrounded with people hawako kwenye game then huwezi kuelewa kitu
Huelewi kama hujagundua forex ni betting means umesoma ila ujatambua chochote kuhusu forex 🤣🤣🤣🤣gambling zote duniani kama hujui watu wana elimu nazo
 
Wapo waliotajirka kwa forex Ila bilionea wa forex hayupo ila mamilionea wap alaf nakkmbusha kama huna mtaji wa kueleweka forex aiseeeeee hii mi taji yetu ya dola 200$ kushka chini ayaa.
Inaonekana haujafanya research yako vizuri,na unaandika kwa hisia unamjua GEORGE SOROS wewe? Au unakuja kuingilia kazi usizo ziweza eti hakuna billionea wa forex .

Inaonekana hata kufanya technical analysis haujui shadi ukachoma account zako .
Sasa povu linaamia kwenye forex na kuiita betting .
 
Mi nafanya forex na nimemake faida japo so sana ila mtaji wangu umekua on somehow lakn nasema forex is gambling coz unaweza fanya analyis zote ujuazo na bado ukapigwa maana anytime any second soko lnabalika tuko sawa sawa mkuu.
Una vi idea vya forex, ila haujasoma forex mtu aliyeiva forex kikweli anajua nini maana ya risk management anajua ku analyse soko si tu kwa kutegemea hayo ma indicator yako uliyoweka hapo(moving average ) hivi kweli trader mkubwa bado unategemea indicator???

Yaani kwa standard yangu mtu anayetegemea signal au indicators bado ana mengi ya kujifunza sanaaaaaaaa .mkuu tafuta mentors wazuri stress zitaisha kwa uchache tu wewe amua unataka mbinu ipi wapo wakina Falcon, steve mauro e.t.c ni wewe tu
 
Huelewi kama hujagundua forex ni betting means umesoma ila ujatambua chochote kuhusu forex gambling zote duniani kama hujui watu wana elimu nazo
Mimi sifanyi forex as a betting nafanya Kama kazi na hakuna kazi isio na hasara hivo tu
 
Una vi idea vya forex, ila haujasoma forex mtu aliyeiva forex kikweli anajua nini maana ya risk management anajua ku analyse soko si tu kwa kutegemea hayo ma indicator yako uliyoweka hapo(moving average ) hivi kweli trader mkubwa bado unategemea indicator???

Yaani kwa standard yangu mtu anayetegemea signal au indicators bado ana mengi ya kujifunza sanaaaaaaaa .mkuu tafuta mentors wazuri stress zitaisha kwa uchache tu wewe amua unataka mbinu ipi wapo wakina Falcon, steve mauro e.t.c ni wewe tu
Unataka a trade naked charts
 
Unakosea kusema kwamba kutrade kwa kutumia indicator hakufai. Mimi binafsi natumia indicator kutrade fx na nafanya vizuri tu. Kama ukipata indicator nzuri na ukai-customize kulingana na trading style yako mbona poa tu.

Na kwa taarifa yako hapa duniani hakuna formula ya mafanikio. Usichokiweza wewe wengine wanakiweza na unachokiweza wewe kuna wengine hawakiwezi. Ni hivyo tu.
 
Unakosea kusema kwamba kutrade kwa kutumia indicator hakufai. Mimi binafsi natumia indicator kutrade fx na nafanya vizuri tu. Kama ukipata indicator nzuri na ukai-customize kulingana na trading style yako mbona poa tu. Na kwa taarifa yako hapa duniani hakuna formula ya mafanikio. Usichokiweza wewe wengine wanakiweza na unachokiweza wewe kuna wengine hawakiwezi. Ni hivyo tu.
True mkuu! Sipingani na wewe ila kikawaida indicator huwa zinaku limit sanaaa na ni rahisi kukupoteza ,ila kama upo vizuri fresh tu.

Mimi indicator naweza kuzitumia ila sizipendi naona kama zinanipa handicap.
 
Sasa kuna mtu hana knowledge anakuja kusema forex n gambling I will never understand you never!
Screenshot_20210423-064023.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom