Kibukuasili
JF-Expert Member
- May 15, 2010
- 1,053
- 616
nishawai kujaribu hawa jamaa wa etoro wako real,unatikiwa uwe na uelewa kuhusu forex trade, namna ya kufanya trading, ujue trading ours na mengineyo, ni ngumu na usipokuwa makini utaliwa hela zote,jifunze hawa kwa kutumia demo account kwanza kabla ya kwenda kwenye real account,inalipa sana ukielewa namna ya kufanya trading na usiwe na internet ya kusuasua( isiwe inakatakata) at least uwe na two monitor + cpu kama unataka kufanya forex trading serious.it's too risk ukiangia kichwa kichwa inacukua muda sana kujifunza ili kuelewa baadhi ya vitu ili uwe GURU(top forex trader).

Hivi mnatumia benki gani kuweka na kutoa pesai have never used toro to trade the market. but i have meta trade 4 only on the demo version. hey i have to admit sjawahi kukutana na mtu ambaye anatrade forex hapa bongo, so im happy to meet you. we can share experience. so u can contact me through 0718654739, im sure we have a lot to talk about. by the way my name is nelson and u can also reach me through salim.nelson@gmail.com