Hili swali mbona limeshajibiwa kwenye comments za mwanzoni..
labda nirudie kama ifuatavyo kwa faida ya wale "wavivu" ama wasio na muda wa kusoma comments:
Nilijibu hivi;
Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu hapa Tanzania haina riba. Tofautisha riba (faida ya kukopesha vitu vinavyolingana e.g dhahabu kwa dhahabu au pesa kwa pesa ) na inflation (kupungua thamani kwa pesa ya nchi against time), hivi ni vitu viwili tofauti.
Mikopo ya HESLB inajumuisha na inflation kwa kipindi husika, haina riba. Hii ni according to mkurugenzi mkuu wa HESLB.
HESLB wanatoza riba na value retention fee, kwa hiyo kusema mikopo haina riba sio sahihi.
HESLB hawakutozi riba maana wao sio wafanyabiashara. Wewe unalipa pesa nyingi kuliko ulizokopeshwa kwa sababu thamani ya pesa "ndogo" uliyokopeshwa kipindi unasoma ni sawa sawa kimanunuzi na pesa "nyingi" unayolipa sasa. Thamani ya manunuzi ni ile ile.
Kama HESLB wanatoza riba je kwenye mkataba uliosaini walisema watakutoza riba kiasi(percentage) gani??
Niliwauliza wenyewe wakaniambia ni riba ile sasa sijui nikuelewe wewe au wao
mwisho wa siku mtasema kutumia JF kwa muislamu ni dhambi.
Kwenda peponi si rahisi kama kwenda coco beach, mlimani city au sehemu nyingine....unahitaji umjue Mungu kweli kweli..Kuna ustadh hafanyi Forex lakini anapiga kitimoto
Hilo nalo neno.....watu na dini zao bwana....Sawa ndugu zangu waislam... Vp mikopo ya vyuo vikuu maana wanadai usipoanza kulipa baada ya mwaka mmoja tuuu unavyo maliza chuo kuna kariba pale kanapenyezwa... Na ukichelewa zaidi wana double.. Je! Mikopo nayo ya vyuo vikuu ndugu zangu waislam tuiache?
Hawa ndugu zangu huwa siwaelewi....katika misingi ya biashara,hakuna biashara halali duniani coz kila biashara ina kitu kinaitwa ulanguzi ili upate faida kwa mfano unanunua bidhaa 1,000/ na unaiuza 1,200/ faida hapo ni 200 ambyo ndiyo ulanguzi wenyewe....Mkuu riba ni riba tu iwe direct au indirect. Kupitia mikopo, pale huwa kuna riba ya moja kwa moja, na kupitia biashara kuna riba iliyobatizwa jina la faida ambayo ni indirect interest.
Hawa ndugu zangu huwa siwaelewi....katika misingi ya biashara,hakuna biashara halali duniani coz kila biashara ina kitu kinaitwa ulanguzi ili upate faida kwa mfano unanunua bidhaa 1,000/ na unaiuza 1,200/ faida hapo ni 200 ambyo ndiyo ulanguzi wenyewe....
Mtu anasema forex ni haramu lakini anakula kitimoto...anazini na wake za watu..
Waache hao sheikh, watu wanahalalisha vilifyoharamishwa na Allah.Na haramisha vilivyohalalishwa na Allah.Kwani umetoa darasa murua kabisa ingekua nzuri uko forum ya nairaland ya naijeria wamezuia kufanya biashara hii au kuitangaza kwenye forum yao,Ukijulikana wanakupa BAN ya maisha vingine walivyokataza kwenye forum hiyo kupost pamoja na binary, crypocurrency na vinginevyo vingi vihusuvyo kama forex.Sawa msomi, acha niendelee kukalili