Forever Young, Smart, Charismatic & Handsome!!

I luv this guy! R.i.p the best president ever!
 
Huyu mzee alikuwa mzalendo wa kweli hakuna kuiga ya wazungu
 
wakati mzee wetu anakumbukwa kawa hizi picha, huyu jamaa wa sasa ivi atakumbukwa kwa picha zake za kucheza kiduku na kubembea
 
Sure!! Hii figure ingekuwepo hadi leo, huu uozo nadhani usingetokea. Basi tena vizuri havidumu walilonga wahenga!!
 
Daima nitakukumbuka Baba wa Taifa langu linaloharibiwa na kuliwa na wanyag'anyi.
 
Ni hatari sana kuchanganya siasa na biashara, hii imekula kwetu!
 
Dotworld asante sana mkuu!!

Naona alikuwa amekula magwanda ya kufa mtu!!
 
i love this dude jaman...... jk nyerere dah.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…