Mkuu mimi nimeachana na hii biashara soli ya viatu inaisha nazunguka na juice bei shs 50,000/= nimuuzie nani nimeamua kunywa mwenyewe nikaingia mitini kulima matikiti
Kwa ujumla kabla ya kuingia kwenye biashara yoyote ya mtandao ufikirie mara mbili.Maana ukiingia kwenye mikutano yao kwa jinsi wanavyoshawishi utajua kesho naenda kuwa Dangote lakini duu!!.Waweza saga mguu ukitafuta wateja mpaka kiatu kinan'goka sori!!!
[HASHTAG]#Charity[/HASHTAG] Jackson
kuna siku nlikua nasoma majarida yao, wanaonesha watu waliofanikiwa tu. Na inspirational words. Kiukwel kdogo nishawishke kujiunga.