Forever living product

Forever living product

Joined
Jun 25, 2013
Posts
65
Reaction score
11
habari wakuu
jaman naomba kujua kuhusu hii kampuni ya forever living product, kwann kampuni inataka watu wengi wajiunge? halafu kwanini inasemekana inatoa faida kubwa sana kwa wanachama?
 
Mkuu hata mimi nahitaji kuifahamu maana mali yao ukichukuwa na isiuzike eti wanakurudishia pesa yako.
 
Maswali mengine kabla ya kujibiwa ni vyema kujuwa kiwango chako cha elimi ili ujibiwe kwa ufasaha.
 
habari wakuu
jaman naomba kujua kuhusu hii kampuni ya forever living product, kwann kampuni inataka watu wengi wajiunge? halafu kwanini inasemekana inatoa faida kubwa sana kwa wanachama?
l=kuna kitu kinaitwa PYRAMID SCHEME, unavyoleta watu wakawa wanaazna kuuza vitu ndio na wewe unapata faida kwa ajili kwenye kila mauzo ya watu uliowaingiza kuna percentage na wewe unapata, me kuna watu nawajua wameingiza watu kama 200 hiv sasa hivi wao wauze au wasiuze kila mwisho wa mwezi wanapewa mshiko wa maana hata kazi hawana haja ya kufanya…
Kuna hawa wengine wanaitwa RELIV naona ndio wameanza kushika kasi nao kwa product zao, wenyewe wanauza multivitamis ambazo ziko kama milkshake, zinasaidia kutibu magonjwa mbalimbali, ndio naona wabongo wengie wamejiunga kama wauzaji nayo malipo yake kama forever Living
 
asante ndugu yangu maana nilikua na wasiwasi watu wengi wananiomba nijiunge nayo sikuwa na ufaham nayo
 
Hi kampuni inafanya biashara kwa mfumo mpya kabisa wa kibiashara duniani unaoitwa Networking Marketing (NWM) au biashara ya mtandao.Kinachofanyika ni kwamba mtu hujiunga na kampuni kubwa kama Foreverling products na kuwa mtumiaji na msambazaji wa bidhaa zao; na Kampuni humlipa kwa kuwa mtumiaji na msambazaji wa bidhaa zao. Kwa kutumia mfumo huu wa Networking marketing Kampuni huwa inakuwa haina wafanyakazi ila watumiaji wa bidhaa zao na hao pia huwa wasambazaji wa bidhaa hizi.Kazi kubwa ya wasambazaji na watumiaji wa bidhaa hizi ni kuwaelimisha au kutaalifu (share information) kwa wengine juu ya fulsa hii. Hi ni fulsa kwa vile bidhaa hizi ni za kiwango cha juu na ni biashara vilevile kwa kila mtu unayemwambia akaamua kuwa mwanachama na mtumiaji na msambazaji kampuni inakulipa parsent furanu kadili ya cheo chako. Hivyo kadili unavyotengeneza kundi kubwa la watumiaji (team) na wasambazaji ambao wewe ndiyo chanzo cha habari (au uliwangiza uanachama) kampuni itakulipa hata wakifika 100. Ndiyo maana watu wanaofanya biashara hii kwa ustadi, umakini na juhudi huwa mamilionea. Wengine hafanikiwa hata kwa muda mfupi kama miezi 3 hadi 6 au mwaka. Hivyo usishangae kwa nini kampuni huwalipa baadhi ya watu pesa nyingi. sababu ni kuwa huyo mtu ameitengenezea kampuni kama FLP pesa nyingi kwa kufanya watu wengi wanunue bidhaa zao. Na ndiyo maana wasiojua mfumo huu hudani ni freemason na hudhani pesa inapatikana bila kufanya kai. Ukweli ni kuwa hakuna pesa za bure hapa, mpaka usababishe bidhaa zao ziuzike. Huu ni mfumo mpya wa kufanya biashara duniani. Tafiti zinaonyesha kuwa Nchini marekani ni biashara hii ya mtandao pekee inayotoa mamilionea wengi zaidi ya 3,600 kila mwaka na haijawahi tokea biashara nyingine duniani kutengeneza mamilione wengi kiasi kama hiki. Na hapa Tanzania hizo dalili zimeanza kujitokeza walioifanya hii biashara kwa umakini tangu imeanza maiaka ya 2006 leo hii ni mamilione wakubwa.Ukweli ni kuwa hizi biashara nyingine hutoa mamilione wachache na hii hutoa wengi kwa vile hii biashara inahusisha wengi wanaoipenda biashara hii na inategemea juhudi zako na hakuna upendeleo au hapa kwetu huita technology know who and not know how. Kama unataka maelezo ziadi juu ya biashara hii nitafute ntakupa malekezo zaidi kwani watalamu wa biashara duniani wametabiri kuwa ndiyo biashara ya karne ya 21 na kwa bahati mbaya wengi tunaifanya biashara hii na kuwatajilisha wengine kwa kuwambia vitu au huduma nzuri zinapatikana wapi na kufanya wengine watengeze pesa na sisi hatulipwi.Huu ni wakati wa wewe kulipwa kwa kumsabaishia mtu mwingine biashara. Maelezo zaidi nitafute kwa email: apronius2000@yahoo.co.uk or +255 689 417 472.
 
Hi kampuni inafanya biashara kwa mfumo mpya kabisa wa kibiashara duniani unaoitwa Networking Marketing (NWM) au biashara ya mtandao.Kinachofanyika ni kwamba mtu hujiunga na kampuni kubwa kama Foreverling products na kuwa mtumiaji na msambazaji wa bidhaa zao; na Kampuni humlipa kwa kuwa mtumiaji na msambazaji wa bidhaa zao. Kwa kutumia mfumo huu wa Networking marketing Kampuni huwa inakuwa haina wafanyakazi ila watumiaji wa bidhaa zao na hao pia huwa wasambazaji wa bidhaa hizi.Kazi kubwa ya wasambazaji na watumiaji wa bidhaa hizi ni kuwaelimisha au kutaalifu (share information) kwa wengine juu ya fulsa hii. Hi ni fulsa kwa vile bidhaa hizi ni za kiwango cha juu na ni biashara vilevile kwa kila mtu unayemwambia akaamua kuwa mwanachama na mtumiaji na msambazaji kampuni inakulipa parsent furanu kadili ya cheo chako. Hivyo kadili unavyotengeneza kundi kubwa la watumiaji (team) na wasambazaji ambao wewe ndiyo chanzo cha habari (au uliwangiza uanachama) kampuni itakulipa hata wakifika 100. Ndiyo maana watu wanaofanya biashara hii kwa ustadi, umakini na juhudi huwa mamilionea. Wengine hafanikiwa hata kwa muda mfupi kama miezi 3 hadi 6 au mwaka. Hivyo usishangae kwa nini kampuni huwalipa baadhi ya watu pesa nyingi. sababu ni kuwa huyo mtu ameitengenezea kampuni kama FLP pesa nyingi kwa kufanya watu wengi wanunue bidhaa zao. Na ndiyo maana wasiojua mfumo huu hudani ni freemason na hudhani pesa inapatikana bila kufanya kai. Ukweli ni kuwa hakuna pesa za bure hapa, mpaka usababishe bidhaa zao ziuzike. Huu ni mfumo mpya wa kufanya biashara duniani. Tafiti zinaonyesha kuwa Nchini marekani ni biashara hii ya mtandao pekee inayotoa mamilionea wengi zaidi ya 3,600 kila mwaka na haijawahi tokea biashara nyingine duniani kutengeneza mamilione wengi kiasi kama hiki e . Na hapa Tanzania hizo dalili zimeanza kujitokeza walioifanya hii biashara kwa umakini tangu imeanza maiaka ya 2006 leo hii ni mamilionea wakubwa.Ukweli ni kuwa hizi biashara nyingine hutoa mamilione wachache na hii hutoa wengi kwa vile hii biashara inahusisha wengi wanaoipenda biashara hii na inategemea juhudi zako na hakuna upendeleo au hapa kwetu huita technology know who and not know how. Kama unataka maelezo ziadi juu ya biashara hii nitafute ntakupa malekezo zaidi kwani watalamu wa biashara duniani wametabiri kuwa ndiyo biashara ya karne ya 21 na kwa bahati mbaya wengi tunaifanya biashara hii na kuwatajilisha wengine kwa kuwambia vitu au huduma nzuri zinapatikana wapi na kufanya wengine watengeze pesa na sisi hatulipwi.Huu ni wakati wa wewe kulipwa kwa kumsabaishia mtu mwingine biashara. Maelezo zaidi nitafute kwa email: apronius2000@yahoo.co.uk or +255 689 417 472.


mengi umeandika

mfano wa hao matajiri ni nani?
 
Nitafute ntakuonyesha. Au soma FLP success magazine utaona hao mamilionea wa Tanzania, EASt Africa, Africa na dunia nzima. Waweza nitafuta nikueleze zaidi. vingine ingia kwa mtandao.maana kila kitu dunia hii kipo wazi.
 
Back
Top Bottom