mimi naomba kuuliza tu, mimi si mwajiliwa na wala sihitaji kuajiliwa na yeyote, hawa forever kuna mtu wangu pale amenitumia kwenye wasapu kutakuwa na dream summits holiday inn hoteltarehe 1 may na speakers watakuwa wawili na contribtion ni 10000/= au $10.
sasa basi mimi kama mjasiriamali ambaye nahitaji mawazo mapya kutoka kwa watu potential kuna shida gani nikilipa pesa hiyo kuudhuria summit na kupata new things?
Hii biashara inawafaa akina mama ambao akili yao na nguvu zimeshaanza kuchoka, kidume unasumbuka sana pasipo sababu za kueleweka na mwisho wa siku unaishia njiani ?
Ni kweli hawa jamaa wahuni tu hawana lolote, bado hawajajipanga!!