Hao jamaa wapo sawa na biashara yao na wana references zakuvutia sana, tatizo lao wanakosea kutangaza wanataka watu wa namna gani kwenye matangazo yao. Inabidi waseme wanaitaji watu wenye mtaji kuanzia laki 3 na 70.
Hii ni biashara kama zilivo biashara nyingine. Ina mbinu zake kama zilivyo kampuni zingine. Ni biashara ya mtandao kama zilivyo biashara nyingi za kisasa. Kikubwa ni kwamba si wote wanaofanya hii biashara wanafanikiwa maana inataka commitment na uchakalikaji katika kueneza hii biashara kwa watu wengi zaidi. Mtaji mkubwa ni uwezo wa kujielezea na kueneza kwa watu wengi zaidi.
Kwa maoni yangu si vema kuwahukumu kwa sababu tu hukuweza kumeet vigezo ikiwa ni pamoja na kuwa na mtaji wa kuanza hiyo biashara. Kuna watu nawafahamu in person wanapiga hela hapa mjini kutokana na hii biashara. Wamejenga na wanaendesha magari mazuri tu. Kwa uchunguzi wangu hii biashara inahitaji sana persistance and perseverance. (Japo mimi sijihusishi na hii biashara). Ni vema ukawa positive katika biashara za watu hata kama vigezo vimekuacha.
Hii ni biashara halali na serikali inaitambua. Wanalipa kodi kama kampuni zingine. Na watu wanapiga pesa kama kawa japo kuna wengine wanachemsha njiani kama zilivyo biashara zingine.
Lighondi.
hawa jamaa wameona hawapati watu wao wa sales ,marketing sasa wameunda ngo/company mbalimbali mm be4 sijapata kazi nliwah ku aply ngo mbalimbali bila kujua ni gnld na for living waliniita kama mara 2 ngo's tofauti wanachoudhi wakikupigia simu wanakuambia unakuja kufanya recruitment/interview ukiuliza kampuni ina deal na bidhaa gani hawakuambii.....ukija sasa wanakuonyesha watu wao waliofanikiwa na kukuambia ujiunge nao kwa kianzio kama cha laki 7 au 6 na wengne hadi laki 3 then ufanye biashara ya marketing network....,..kama watu wenu waliofanikiwa mnatuambia waliacha kazi zao nzuri ndo wakawa wanafanya business yenu hvi kwa nini muite fresh graduate huku mkijua weng hawatakua na hyo hela za kuanzia pia kwa nini wanapowauliza mkiwapigia cm why msiwe wawazi kuwambia kua ni mambo za gnld na forever living bz kama mtu ana nia hata ukimwambia hvyo atakuja ila ulimficha na akaja hadi ofsini kwenu ndio akagundua hata umpe sound gani hatajiunga na nyie..,.jana ilimkuta mdogo wangu tena wale walioitwa UHURU HEIGHT wanajua