Foreigners wamezidi sana tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Foreigners wamezidi sana tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Jun 28, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nipo kwenye basi naelekea Tunduma tumesimamishwa hapa ipogolo Iringa,Afisa uhamiaji ameingia kwenye basi na kugundua nusu ya wasafiri wote kwenye basi na foreigners,yaani kuna wanaijeria,waghana na warundi na wakenya kibao!!!!uuuuuwi!!tuna kazi!jamani hivi inakuwaje hawa jamaa wanaingiaje kwenye nchi yetu??ina maana tumeshindwa kabisa kudhibiti mipaka yetu kuilinda na kurusu watu halali kuingia ndani ya nchi hii??yaani hapa kuna bonge la ugomvi hawa maforeigner wamekataa wao sio wageni eti ni raia lakini tunashangaa afisa uhamiaji wamekomaa nao na sasa hivi tumepandishwa huku juu iringa kwenye ofisi ya uhamiaji tukisubiri nini kinaendelea,hii ni dalili mbaya sana kwa nchi yetu
   
 2. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Kwenye nchi nyingi za kiafrika achilia mbali za waafrika wenye asili ya uarabuni hili tatizo ni kubwa sana.
  Kuna kipindi nilienda South Africa nilikutana na wabongo wengi sana wanaoishi kimazabe kule,Nenda Kenya asilimia kubwa wa wale wachoma chips usiku vibarazani ni wabongo na wao wapo k mazabe tu.
  So hii ndiyo Africa yetu .
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kwa tanzania,wageni weeeengi wanaingilia kaskazini mwa Tanzania,,,,,,then wanaingilia mbamba bay(wanyasa),sasa basi kwa vyovyote vile wanaohusika pale ni watanzania(hasa watu wa uhamiaji),,,,,,,maeneo Kinondon hapa kuna wanyasa kibaaaaao
   
Loading...