Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,714
- 7,403
Habari za shughuli ndugu mabibi na mabwana. Nataka nieleweshe nini faida na hasara ya kufungua account za pesa za kigeni, ili kulinda pesa yangu kushuka thamani nataka kujua kodi, kiwango cha kuanzia, kibali cha kufungua na mambo mengine yanayohitajika