pandian Member Jan 11, 2011 37 7 Aug 1, 2011 #1 Wadau, hebu nipeni namba ya mtu au dealer ukiacha CMC Automobile, anaeuza spares za Ford hapa Dar. Unaweza pai kunipa namba ya fundi wa magari models za FORD; Ranger, Focus ama Everest atanisaidia pia. Naomba kuwasilisha. Rgds /Pandian
Wadau, hebu nipeni namba ya mtu au dealer ukiacha CMC Automobile, anaeuza spares za Ford hapa Dar. Unaweza pai kunipa namba ya fundi wa magari models za FORD; Ranger, Focus ama Everest atanisaidia pia. Naomba kuwasilisha. Rgds /Pandian