mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
Mengi aliwaambia forbes kama hata umri wake hawaujui/wanaukosea vipi atawaamini kwny kuorodhesha utajiri wake?We umefanya makisio tu na kudhania ni matajiri. Wenzako wanafanya uchunguzi na kujiridhisha ndio wanakuja na list. Kama una pesa nyingi na Forbes hawakujui jua ni ujanja ujanja tu