Forbes laandika kuhusu kufungwa kwa kiwanda cha Dangote Tanzania

Wacha waandike,Tanzania itabaki kuwa Tanzania na Marekani itabaki kuwa Marekani tu.

Mwekezaji lazima afuate sheria na taratibu za Tanzania,Serikali haingalii utajiri wake.

Wanapenda kuja kuwekeza watakuja na wasiotaka kuja hatuwezi kuwabembeleza kwasababu ya pesa zao NEVER and EVER kwa Serikali Makini.
 
Ni muda muda sasa tangu suala la kiwanda cha cement cha dangote kusemekana kimesitisha uzalishaji kutokana na baadhi ya mambo kutokwenda sawa na serekeli ikiwemo ishu ya coal, na kwa bahati mbaya serekali unafanya siasa katika swala hili jambo litakalopelekea wafanyakazi wengi wa kiwanda hicho kurudi mtaani.
Sasa leo gazeti maarufu la FORBES la nchin marekani limeandika kuhusu kufungwa kwa kiwanda hicho kinachomilikiwa na tajir namba moja Afrika. Hatua hii ni mbaya kwa uchumi wa Tanzania mana taarifa hizi kuchapishwa na gazeti maarufu kama hili linalosomwa duniani kote tena na matajiri ambao ndio investors ni dalili tosha ya Tanzania kukimbiwa na wawekezeji. Hii italeta question mark vichwan mwa wakubwa wa huko duniani na they'll sense there is something wrong katika nchi hii kwa sasa.

Tutegemee makubwa zaidi kutokea kama hatua za muhimu hazitachukuliwa.
Africa's Richest Man Faces Challenges In Tanzania; Shuts Down Cement Plant

Mfonobong Nsehe
,

Contributor

I chronicle Africa's success stories and track its richest people

Opinions expressed by Forbes Contributors are their own.

Africa’s richest man Aliko Dangote has shut down his cement plant in Tanzania due to high energy costs and a technical glitch at the $500 million factory, according to a government source, who confirmed reports in Tanzanian media.

Executives at Dangote Industries Tanzania have recently complained about the government’s failure to provide the company with cheap fuel and other logistical solutions. Dangote Cement had previously requested the government-owned energy company, the Tanzania petroleum Development Corporation (TPDC), to supply its Mtwara-based cement plant with natural gas at significantly subsidized prices - a request the government body turned down.

Dangote cement spends as much as $4 million on diesel every month powering its cement factory.

“Our plant uses six million liters of diesel per month to run generators after the promises to supply it with natural gas, which is produced in a nearby gas field, failed to materialize,” Dangote Tanzania CEO, Harpeet Duggal, had told a group of politicians in October.

960x0.jpg

Nigerian businessman and Africa's richest man Aliko Dangote (L) speaks with French General Director of the Banque Publique d'Investissement (BPI, Public Investment Bank) Nicolas Dufourcq as they leave the Elysee presidential Palace following a meeting between French President and French and African businessmen on October 7, 2016 in Paris. Photo credit: STEPHANE DE SAKUTIN/AFP/Getty Images

Dangote plant was strategically built in Mtwara, in Tanzania’s southeastern region, to take advantage of cheap natural gas that is extracted in nearby fields. While the previous government led by former President Jakaya Kikwete had promised Dangote cheaper prices for natural gas, the TPDC under the government of President John Magufuli has refused to honor the agreement. In a bid to mitigate its energy costs, Dangote Industries has resorted to importing coal from South Africa, which is cheaper than natural gas – a move that has greatly upset top government officials in the Magufuli-led government, primarily because Tanzania also possesses substantial deposits of coal. In August, the government banned the importation of coal from South Africa – a move that pundits believe was specifically targeted at Dangote. The Tanzanian government has repeatedly requested that the cement behemoth source its coal locally, but Dangote executives have complained that the coal, which is mined from Songwe region, hundreds of kilometers away from Mtwara, is of poor quality and unreasonably expensive.

However, the acting commissioner of minerals in the Ministry of Energy and minerals, John Shija, has defended Tanzania’s coal as being better than imported coal both in terms of quality and price.

Recommended by Forbes
“While coal produced in Tanzania is sold at $90 per ton with transportation costs included, coal from South Africa is sold at between $103 and $118 per ton – transportation costs included, “ Shija told a group of journalists on Thursday at a press conference in Dar es salaam on Wednesday.
 
Vizuri sana kwa kuweka mambo wazi

Mkuu JPM anataka kodi na watu wapate ajira lakini kwa expense ya investors! hakuna kitu kama hicho kwenye uchumi! Kama serikali ingekuwa sharp kwenye customer care kwa wawekezaji hili wala lisingefika huku lakini kiburi na kujitoa fahamu na kujifanya mjuaji wa kila kitu ndiyo matokeo yake hayo! hii siyo chemistry bwana kwamba oksijeni plus hydrogen utapata maji!
 
Ni muda muda sasa tangu suala la kiwanda cha cement cha dangote kusemekana kimesitisha uzalishaji kutokana na baadhi ya mambo kutokwenda sawa na serekeli ikiwemo ishu ya coal, na kwa bahati mbaya serekali unafanya siasa katika swala hili jambo litakalopelekea wafanyakazi wengi wa kiwanda hicho kurudi mtaani.
Sasa leo gazeti maarufu la FORBES la nchin marekani limeandika kuhusu kufungwa kwa kiwanda hicho kinachomilikiwa na tajir namba moja Afrika. Hatua hii ni mbaya kwa uchumi wa Tanzania mana taarifa hizi kuchapishwa na gazeti maarufu kama hili linalosomwa duniani kote tena na matajiri ambao ndio investors ni dalili tosha ya Tanzania kukimbiwa na wawekezeji. Hii italeta question mark vichwan mwa wakubwa wa huko duniani na they'll sense there is something wrong katika nchi hii kwa sasa.

Tutegemee makubwa zaidi kutokea kama hatua za muhimu hazitachukuliwa.
Sasa wewe unatakaje. Tuwape gesi na makaa ya mawe bure ndio watupende. Kwani unafikiri sisi ndio tunahangaika tu. wawekezaji pia wanatafuta pa kuwekeza. Ni vizuri wakijua kwamba sisi sio shamba la bibi.
 
Wacha waandike,Tanzania itabaki kuwa Tanzania na Marekani itabaki kuwa Marekani tu.

Mwekezaji lazima afuate sheria na taratibu za Tanzania,Serikali haingalii utajiri wake.

Wanapenda kuja kuwekeza watakuja na wasiotaka kuja hatuwezi kuwabembeleza kwasababu ya pesa zao NEVER and EVER kwa Serikali Makini.

Mkuu soma hapo chini Dangote ana sababu zake na ziko genuine siyo kwamba amekurupuka!

Dangote plant was strategically built in Mtwara, in Tanzania’s southeastern region, to take advantage of cheap natural gas that is extracted in nearby fields. While the previous government led by former President Jakaya Kikwete had promised Dangote cheaper prices for natural gas, the TPDC under the government of President John Magufuli has refused to honor the agreement. In a bid to mitigate its energy costs, Dangote Industries has resorted to importing coal from South Africa, which is cheaper than natural gas – a move that has greatly upset top government officials in the Magufuli-led government, primarily because Tanzania also possesses substantial deposits of coal. In August, the government banned the importation of coal from South Africa – a move that pundits believe was specifically targeted at Dangote.
 
Tatizo hili la Dangote ni kielelezo ni kwa nini mikataba kati ya wawekezaji na Serikali yetu inakuwa siri na wanang'ang'ania iwe siri. Dangote hana kosa na inawezekana aliombwa aje awekeze Tanzania kwa ahadi ya kusaidiwa hayo yote. Hoja dhaifu inayojengwa na watu wengine kwamba Dangote anapendelewa ni ya kijinga sana.

Kwenye biashara uwezo wako wa kushawishi maslahi yako (Bargaining power) kufikiriwa na unayetaka kufanya naye biashara ndiyo utakaokupa manufaa. Dr. Kafumu kaelezea kwa uzuri kabisa kwamba ni wao "serikali" walimpa Dangote ahadi zote hizo ili kumrahisishia kuzalisha Simenti itakayouzwa kwa bei rahisi kwenye soko. Kwa ivo Dangote siyo mhalifu wala hana kosa kufunga kiwanda kama serikali inashindwa kutimiza ahadi zake.

Kuna watu wanataka kusema eti hii ni "serikali nyingine" kwa ivo haihusiki na mikataba iliyoingia serikali iliyopita, huu nao ni ujinga. Kama wanataka kubadili misimamo yao kuhusu Dangote basi wakae nae badala ya kugoma bila kumhusisha mdau mwenzao.
 
Hiki kiwanda ni mfano mzuri kabisa wa jinsi gani serikali yetu iko disorganized.
Wako tayari kubana importations zote kulazimisha ufuate wanachokitaka wao jambo ambalo companies nyingi haziwezi kukubali. Huwezi mfungia mtu ku-import energy source nje ili umlazimishe anunue ya kwako ambayo unaiuza bei ghali, coal ipo Tanzania, target yao ilikua kutafuta njia tuwe na competitive prices kushindana na South Africa sio tumekaa tumejaa pride ya kijinga huku hatuuzi chochote.

Serikali ya Tanzania sasa hivi ina viongozi wanajidai sana, wanahisi Tanzania ndio kila kitu duniani. Inabidi turudi nyuma kidogo tu-face reality, sisi ndio wa kubembeleza watu waje kuinvest hapa sio wao wa kutubembeleza, hatuna chochote cha kujidai, nchi zote zinafanya hivyo. Give the guys coal at a better or same price au allow them to import la si hivyo watafunga kiwanda, there's no way watakubali kuuza vitu at a higher price huku wanauza hadi nchi za nje.
 
Ni muda muda sasa tangu suala la kiwanda cha cement cha dangote kusemekana kimesitisha uzalishaji kutokana na baadhi ya mambo kutokwenda sawa na serekeli ikiwemo ishu ya coal, na kwa bahati mbaya serekali unafanya siasa katika swala hili jambo litakalopelekea wafanyakazi wengi wa kiwanda hicho kurudi mtaani.
Sasa leo gazeti maarufu la FORBES la nchin marekani limeandika kuhusu kufungwa kwa kiwanda hicho kinachomilikiwa na tajir namba moja Afrika. Hatua hii ni mbaya kwa uchumi wa Tanzania mana taarifa hizi kuchapishwa na gazeti maarufu kama hili linalosomwa duniani kote tena na matajiri ambao ndio investors ni dalili tosha ya Tanzania kukimbiwa na wawekezeji. Hii italeta question mark vichwan mwa wakubwa wa huko duniani na they'll sense there is something wrong katika nchi hii kwa sasa.

Tutegemee makubwa zaidi kutokea kama hatua za muhimu hazitachukuliwa.
Wewe una mambo ya ovyo ovyo weka link tukuamini au umetumwa na mamnvi?
 
Eti Tanzania ya Donald Trump ni Tanzania ya viwanda...ebo!

Tanzania ya viwanda au Tanzania ya kuvifunga viwanda?

Ooh Juma Poor Manager...you are good in nothing rather than kuteau na kutengua...Basi.
Baelezee mkuu yaani JK kastruggle kuleta investor halafu eti jitu lingine linakurupuka linakataa kwa kiburi tu kuheshimu makubaliano. Na jinsi Poor Manager alivyo mtu wa kujifungia ndani ka mwal watamkimbia wengi maana yeye siyo mtu wa kumingle na watu wa dunia eti anawasubia waende magogn maana hii nchi ni tajiri sana "It was supposed to be a donor country!!!
Halafu very sad Muhongo naye badala ya kudeal na Dangote strategically yeye anawachukua competitors wa Dangote na anawahoji maswali ya nyodo lengo tu kuonyesha kuwa Dangote wako hovyo!! wakati viwanda vya cement vyote ni kama client wake customer care ya wapi hii?
 
Ni muda muda sasa tangu suala la kiwanda cha cement cha dangote kusemekana kimesitisha uzalishaji kutokana na baadhi ya mambo kutokwenda sawa na serekeli ikiwemo ishu ya coal, na kwa bahati mbaya serekali unafanya siasa katika swala hili jambo litakalopelekea wafanyakazi wengi wa kiwanda hicho kurudi mtaani.
Sasa leo gazeti maarufu la FORBES la nchin marekani limeandika kuhusu kufungwa kwa kiwanda hicho kinachomilikiwa na tajir namba moja Afrika. Hatua hii ni mbaya kwa uchumi wa Tanzania mana taarifa hizi kuchapishwa na gazeti maarufu kama hili linalosomwa duniani kote tena na matajiri ambao ndio investors ni dalili tosha ya Tanzania kukimbiwa na wawekezeji. Hii italeta question mark vichwan mwa wakubwa wa huko duniani na they'll sense there is something wrong katika nchi hii kwa sasa.

Tutegemee makubwa zaidi kutokea kama hatua za muhimu hazitachukuliwa.
Nawewe unaamini kabisa kiwanda cha Dangote kimefungwa?
 
Libuva na litume lake watapata laana.....vilio vya watanzania zaidi ya mil.40 wanavyolia kwa sasa vitawakalia vichwani
 
""INTERNATIONALLY INVESTER BLACK SPOT""
--->>ukiona mwekezaji anataka kuondoka ujue keshashiba hiyo...!?
kibaya mfumo wa kiuwekezaji unasambaa kwa haraka mno duniani hasa kuhusu "DOSARI"or "OBSTACLES"
 
Back
Top Bottom