Forbes laandika kuhusu kufungwa kwa kiwanda cha Dangote Tanzania


aseenga

aseenga

Member
Joined
Jul 13, 2011
Messages
99
Likes
66
Points
45
aseenga

aseenga

Member
Joined Jul 13, 2011
99 66 45
Ni muda muda sasa tangu suala la kiwanda cha cement cha dangote kusemekana kimesitisha uzalishaji kutokana na baadhi ya mambo kutokwenda sawa na serekeli ikiwemo ishu ya coal, na kwa bahati mbaya serekali unafanya siasa katika swala hili jambo litakalopelekea wafanyakazi wengi wa kiwanda hicho kurudi mtaani.

Sasa leo gazeti maarufu la FORBES la nchin marekani limeandika kuhusu kufungwa kwa kiwanda hicho kinachomilikiwa na tajir namba moja Afrika. Hatua hii ni mbaya kwa uchumi wa Tanzania mana taarifa hizi kuchapishwa na gazeti maarufu kama hili linalosomwa duniani kote tena na matajiri ambao ndio investors ni dalili tosha ya Tanzania kukimbiwa na wawekezeji. Hii italeta question mark vichwan mwa wakubwa wa huko duniani na they'll sense there is something wrong katika nchi hii kwa sasa.

Tutegemee makubwa zaidi kutokea kama hatua za muhimu hazitachukuliwa.
===========

Africa’s richest man Aliko Dangote has shut down his cement plant in Tanzania due to high energy costs and a technical glitch at the $500 million factory, according to a government source, who confirmed reports in Tanzanian media.

Executives at Dangote Industries Tanzania have recently complained about the government’s failure to provide the company with cheap fuel and other logistical solutions. Dangote Cement had previously requested the government-owned energy company, the Tanzania petroleum Development Corporation (TPDC), to supply its Mtwara-based cement plant with natural gas at significantly subsidized prices - a request the government body turned down.

Dangote cement spends as much as $4 million on diesel every month powering its cement factory.

“Our plant uses six million liters of diesel per month to run generators after the promises to supply it with natural gas, which is produced in a nearby gas field, failed to materialize,” Dangote Tanzania CEO, Harpeet Duggal, had told a group of politicians in October.

Dangote plant was strategically built in Mtwara, in Tanzania’s southeastern region, to take advantage of cheap natural gas that is extracted in nearby fields. While the previous government led by former President Jakaya Kikwete had promised Dangote cheaper prices for natural gas, the TPDC under the government of President John Magufuli has refused to honor the agreement. In a bid to mitigate its energy costs, Dangote Industries has resorted to importing coal from South Africa, which is cheaper than natural gas – a move that has greatly upset top government officials in the Magufuli-led government, primarily because Tanzania also possesses substantial deposits of coal. In August, the government banned the importation of coal from South Africa – a move that pundits believe was specifically targeted at Dangote. The Tanzanian government has repeatedly requested that the cement behemoth source its coal locally, but Dangote executives have complained that the coal, which is mined from Songwe region, hundreds of kilometers away from Mtwara, is of poor quality and unreasonably expensive.

However, the acting commissioner of minerals in the Ministry of Energy and minerals, John Shija, has defended Tanzania’s coal as being better than imported coal both in terms of quality and price.

Source: Forbes
 
technically

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
7,448
Likes
18,834
Points
280
technically

technically

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
7,448 18,834 280
Tukiwaambia mlituchaguli mtawala na si kiongozi mnakataa................

Kiongozi wa kwanza duniani kumsikia akifurahia kuumia kwa wananchi wake....

Laana imwendee yeyote anayefurahia kuumia kwa wananchi wazawa wa Tanzania hata kama ni kiongozi mkubwa.
 
sirluta

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Messages
6,143
Likes
1,505
Points
280
sirluta

sirluta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2012
6,143 1,505 280
Labda hii taarifa ungei address kwa Bavicha tu ndo watakuelewa ila wengine hatupo na wewe.
 
Gullam

Gullam

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Messages
4,382
Likes
2,873
Points
280
Gullam

Gullam

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2013
4,382 2,873 280
Tukiwaambia mlituchaguli mtawala na si kiongozi mnakataa................

Kiongozi wa kwanza duniani kumsikia akifurahia kuumia kwa wananchi wake....

Laana imwendee yeyote anayefurahia kuumia kwa wananchi wazawa wa Tanzania hata kama ni kiongozi.....
Amina
 
MarkHilary

MarkHilary

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2015
Messages
1,339
Likes
1,033
Points
280
MarkHilary

MarkHilary

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2015
1,339 1,033 280
Weka link mzee, acha masimulizi...
 
sifongo

sifongo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2011
Messages
4,787
Likes
3,112
Points
280
sifongo

sifongo

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2011
4,787 3,112 280
Weka link chief.....wakina Tomaso ni mpk wapapase ndio wanaamini.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
107,666
Likes
132,593
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
107,666 132,593 280
Tukiwaambia mlituchaguli mtawala na si kiongozi mnakataa................

Kiongozi wa kwanza duniani kumsikia akifurahia kuumia kwa wananchi wake....

Laana imwendee yeyote anayefurahia kuumia kwa wananchi wazawa wa Tanzania hata kama ni kiongozi.....
Tawile...Tawile....!!!
 

Forum statistics

Threads 1,275,231
Members 490,947
Posts 30,536,288