Wameandikaje? Weka link hapa?
***Acha waandike sisi mbele kwa mbele.
Ukishikiwa akili huwezi kuwa na fikra huru, na nchi hii iko hivi ilivyo kwa akili za kijinga kama hizi.....kutwa unawaza Bavicha tuLabda hii taarifa ungei address kwa Bavicha tu ndo watakuelewa ila wengine hatupo na wewe.
Weka link mzee, acha masimulizi...
Africa's Richest Man Faces Challenges In Tanzania; Shuts Down Cement PlantWeka link chief.....wakina Tomaso ni mpk wapapase ndio wanaamini.
Mnafikiri hela zakuwalipa nyie watetea ujinga zitapatikana wapi kama wawekezaji watafunga biashara hii ina maana idadi ya walipa kodi itapungua.Hata mawakala wapya wa TRA(kikosi cha usalama barabarani) nao makusanyo yao yatakuwa hoi kwakuwa vyombo vya kukamata hata kwa uonevu vitakuwa majumbani kwani asilimia kubwa ya wamiliki watakuwa hawana ajira.Tafakari pasipo kuhusisha siasa katika hili jambo.Acha waandike sisi mbele kwa mbele.
a.k.a MbomoajiUchumi hauhitaji bulldozer.
Mkuu reputation ya forbes ni kubwa mno! so strategic investor anapoona habari (wao wanasoma hiyo magazine kila wakati ni kama wengine wanavyosoma JF) kama hii lazima kuna kitu kinacklic kwenye mind yake! Tena issue ni kuwa serikali haikuheshimu makubaliano ambayo walikubaliana na hapo ndipo hasa Dangote wanapolalamika. Hata kama Dangote ana matatizo yake lakin ana point lets be fair kwenye hili. By the way cement ingekuwaje bei ya chini kama asingepata incentives mbalimbali? ifike hatua serikali ijiongeze hii ni win win na ndo biashara zilivyoKwa hiyo Forbes wakiandika ndo wawekezaji hawaji? hivi Ubongo wa mtu mweusi uliwekewa Material gani?
Utaporudishiwa ufahamu wako utarudi katika ulimwengu wa kweli na kufahamu athari za kinachoendelea na andiko la forbes lina uzito gani.Kwa hiyo Forbes wakiandika ndo wawekezaji hawaji? hivi Ubongo wa mtu mweusi uliwekewa Material gani?
Mna hoji nini wakati ni mikataba mliingia wenyewe?Itabidi Tanzania sasa tuanze kusikiliza na kutekeleza kila wanayotaka wawekezaji ili tuvutie wengine zaidi, maana kuhoji tunakimbiza wawekezaji.
Mmmm nyie mnae mtetea Dangote IPO siku mtaielewaa serikali yetu ikoje
Kama wawekezaji wote wangependelewa hivo naiman mambo yangekuwa sawa
Ok kwani Dangote japo ya hizo ghalama za uzalishaji kwani cement ilikuwa haiuziki
Mbona alikuwa anauzaaa
... Alichoingizwaa chaka ni kwenda kuwekeza mtwara ambako sio market base ya cement but haingii akilini serikali ikuuzie gesi bei rahisi ili iweje
Sasa hayoo makaa ya mawe mbona viwanda vingine havilalamiki ni yeye tu
Simba wako tanga
Rhino tanga
Tembo Mbeya
Mbona wote hawalalamiki
Na kodi kiasi gani itapotea wakiamua kushut down operations permanently? Watu nadhani wanalichukulia hili jambo lightly sana.Mkuu reputation ya forbes ni kubwa mno! so strategic investor anapoona habari (wao wanasoma hiyo magazine kila wakati ni kama wengine wanavyosoma JF) kama hii lazima kuna kitu kinacklic kwenye mind yake! Tena issue ni kuwa serikali haikuheshimu makubaliano ambayo walikubaliana na hapo ndipo hasa Dangote wanapolalamika. Hata kama Dangote ana matatizo yake lakin ana point lets be fair kwenye hili. By the way cement ingekuwaje bei ya chini kama asingepata incentives mbalimbali? ifike hatua serikali ijiongeze hii ni win win na ndo biashara zilivyo