For your information- CRAMING CAN BE FATAL | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

For your information- CRAMING CAN BE FATAL

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Lekanjobe Kubinika, May 9, 2011.

 1. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Source: Yahoo friends  Labda ulishaiona, kama ndivyo skip it.


  Vijana wawili katika harakati za kutafuta kazi, waliingia kwenye quiz ya kuongea, marafiki wawili hao walikuwa wakisaidiana mambo mbalimbali ya kimaisha walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko vizuri kichwani ili akitoka ampatie mwenzie majibu.
  Kwakuwa muda ulikuwa mdogo sana na watahiniwa walishagundua kuwa maswali yalikuwa yakijirudia basi yule jamaa aliyeingia wa kwanza alipotoka akaamua kumpatia mwenzie majibu tu.
  SWALI LA 1 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHEN WAS TANZANIA INDEPENDENCE?
  JIBU LA BRIGHT STUDENT: IT WAS SUPPOSE TO BE 1960 BUT IT POSTPONED TO 1961 DUE TO MANY REASONS.
  SWALI LA 2 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHO BROUGHT INDEPENDENCE?
  JIBU LA BRIGHT STUDENT: SO MANY PERTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE AND KAWAWA WHO FINALISED IT.
  SWALI LA 3 KUTOKA KWA MWAJIRI: IT BELIEVES THAT IN MARS THERE ARE LIVING THINGS,DO YOU BELIEVE?
  JIBU LA BRIGHT STUDENT: SOME SAY YES,SOME SAY NO BUT SCIENTISTS ARE STILL INVESTIGETING.

  Sasa alipoingia yule kijana ambaye uwezo wake darasani haukuwa mzuri na kwakuwa alikuwa amekariri majibu tu ilikuwa ni patashika humo ndani ya chumba cha mtihani.
  SWALI LA 1 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHEN WERE YOU BORN?
  JIBU LA STUDENT MJINGA: IT WAS SUPPOSE TO BE 1960 BUT POSTPONED TO 1961.
  SWALI KUTOKA KWA MWAJIRI: WHAT?!!!!!!!!!!! WHO IS YOUR FATHER BY THE WAY.
  JIBU LA STUDENT MJINGA: SO MANY PERTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE AND KAWAWA WHO FINALISED IT.
  SWALI LA 3 KUTOKA KWA MWAJIRI: OHHHHHH MY GOD! ARE YOU CRAZY?
  JIBU LA STUDENT MJINGA: SOME SAY YES,SOME SAY NO BUT SCIENTISTS ARE STILL INVESTIGETING.
   
 2. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hahahahha! you made me laugh anyway!! Thanx for the chap!!
   
 3. K

  Kundasenyi Member

  #3
  May 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha haaa!! du kwajinsi nilivyo cheka maamini siku yangu leo itakuwa ya furaha
   
Loading...