Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,587
- 17,731
Madam heshimu sanaaa VOCATIONAL TRAINING.Eti VETA mweeeeee, alafu unalipwa sh ngapi? kwa mwezi. Mawazo ya kimaskini ndio hayo.
Skills zake zinakufanya ujiajiri.
#YNWA
Madam heshimu sanaaa VOCATIONAL TRAINING.Eti VETA mweeeeee, alafu unalipwa sh ngapi? kwa mwezi. Mawazo ya kimaskini ndio hayo.
Ndugu nashkuru sanaa ila me nimeomba ushauri wa UniversityYaani wewe ndiye mwenye mawazo ya kimasikini sema hujioni. Na ndio Mana Taifa litazidi kuzalisha waoga na masikini.
Unapenda security,
Ujue mtu akisoma veta kitu anachokipenda anaweza akakaa gereji akafungua yake,later duka la spear na gereji anayo ikamlipa mshahara mkubwa kuliko huo unalipwa ukistaafu unaanza kuhaha.
Hali kadhalika fundi ujenzi Mara anakuwa na hardware yake.
Ila pia sio kosa lako it's nature of human being to be afraid of unknown, uncertainties and do some statistical probabilistic odds calculation risks.
We love deterministic life kuwa mwisho wa mwezi utalipwa Bei gani,jioni utakula Nini,muda fulani utafanya Nini.
Pia kuwa contRolled kinidhamu. Mtu anasoma mapishi anapiga vibarua anafungua restaurant yake ya maana.
We're poor not because of environments but because of our internal mind environment
Sio rahisi kihivyoMtu anaepiga technical kozi VETA ana mshahara mkubwa kuliko mwenye degree ya ualimu diploma ya MD
Ni halali kazi za kutumia miguvu. Meneja wake ana qualification gani? Tupe na mshahara wa meneja wake.Acha kuidharau veta meneja ipo hivi nina dogo nilimshauri akasome VETA baada ya kupata four ya 27 form four dogo akaenda huku kanuna akajua Mimi nina roho mbaya (nachangia nae baba)
Kapiga kozi yake veta miaka mitatu mechanical ana levo 4
Hizi ajira za juzi TPA kapata now yupo semina
Mkataba wake kwa mwezi mshahara ni 1.4
House ana 400K
Matibabu 200K
Usafiri 150K
Totally 2.150K hapo bado hujaweka overtime
Mm nina degree yangu kama namzidi saana ni 200K labda na vijisenti vya wizi wa kutopitisha mizigo TRA
Meneja wake ni kuanzia M10 na madili ya BilionNi halali kazi za kutumia miguvu. Meneja wake ana qualification gani? Tupe na mshahara wa meneja wake.

Trust me ni very simpleSio rahisi kihivyo