For University professional

For University professional

creedfx

Senior Member
Joined
Jun 24, 2022
Posts
103
Reaction score
58
Ni shida ya vijana wengi wa Taifa langu pendwa la kwani watu tunasoma hadi elimu ya juu lakin bahati mbaya hatujui tunaenda soma nini baada ya kuhitimu sana sana kwa masomo mageni kama economics accountancy na masomo mengine ambayo ndo tunatakuta elimu ya juu

Dah kwa bahati mbaya huu mtego haujajiacha salama nimejaribu kusoma literature review nikapata majina ya kozi nyingi sana na vyuo ila mpaka sasa sijui kozi ipi niisome

Kwanza niehitimu kwenye tahasusi ya EGM na napenda sana masuala ya odditing bank na industry work ila sijui kozi gani itanisaidia kufika huko ninapo patamani

Naombeni msaada wa ushauri hata kama ni kwa njia ya maswali itapendeza

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mimi naoga wajanja wanaokwenda kusoma DIT au Veta.

Naamini haya maisha hapa yalipo ujuzi ndio kitu muhimu kuliko kuwa na vyeti vimeandikwa degree na haijusaidii kitu, ni ujinga fulani tu kuwaza kazi za kuvaa tai.
 
Maskini ni wewe unayekwenda kupata skills Veta halafu unawaza kuajiliwa.

Huna akili.
Tatizo uelewa wako unaishia level ya VETA.
Kwani hizo skills huwezi kuzipatia chuo kikuu? Chuo kikuu maabara na workshop hazipo?
Kuna mwingine anataka kusomea mambo ya uongozi, hayo mambo yapo VETA? Tatizo mnadanganywa na wanasiasa. Kwanini usiwashauri viongozi wako wayabadili mazingira ya vyuo vikuu yawe kama VETA, ili wanaosomea huko wajifunze kujiajiri hukohuko.
 
Kwanza unaelewa maana ya University?

Isijekuwa napotezewa muda na mtu hata hajui University ni nini.
 
Mimi naoga wajanja wanaokwenda kusoma DIT au Veta.

Naamini haya maisha hapa yalipo ujuzi ndio kitu muhimu kuliko kuwa na vyeti vimeandikwa degree na haijusaidii kitu, ni ujinga fulani tu kuwaza kazi za kuvaa tai.
Ahahaha kama wewe degree yako haikusaidii bas jua ni ww tuulipoteza mda chuo; au ndo nyinyi mlienda kusoma degree za fine arts
 
creedfx ushakimbia uzi lakini ukiona comment hii kwanza acha mara moja kujiita jina lolote na kumalizia fx mwishoni. Forex haitokusaidia lolote kimaisha, labda kama ndoto zako ni kufirisika hapo itakufanikisha. Kila mtu anayeanza chuo anajikuta anajua Forex, wengine tuliacha mwaka wa kwanza wengine waliacha mwaka wa pili na wengine walidisco nayo. Labda uamue kuwa tapeli kama hao influencers wanaowatapeli
 
Nimekuuliza unaelewa maana ya University?

Usirukeruke kama bata bukini, jibu swali.
 
creedfx ushakimbia uzi lakini ukiona comment hii kwanza acha mara moja kujiita jina lolote na kumalizia fx mwishoni. Forex haitokusaidia lolote kimaisha, labda kama ndoto zako ni kufirisika hapo itakufanikisha. Kila mtu anayeanza chuo anajikuta anajua Forex, wengine tuliacha mwaka wa kwanza wengine waliacha mwaka wa pili na wengine walidisco nayo. Labda uamue kuwa tapeli kama hao influencers wanaowatapeli
Thanks ila sio fx ya branding then nipende kukuomba unielezee kuhusu forex kidg

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Eti VETA mweeeeee, alafu unalipwa sh ngapi? kwa mwezi. Mawazo ya kimaskini ndio hayo.
Yaani wewe ndiye mwenye mawazo ya kimasikini sema hujioni. Na ndio Mana Taifa litazidi kuzalisha waoga na masikini.
Unapenda security,
Ujue mtu akisoma veta kitu anachokipenda anaweza akakaa gereji akafungua yake,later duka la spear na gereji anayo ikamlipa mshahara mkubwa kuliko huo unalipwa ukistaafu unaanza kuhaha.
Hali kadhalika fundi ujenzi Mara anakuwa na hardware yake.

Ila pia sio kosa lako it's nature of human being to be afraid of unknown, uncertainties and do some statistical probabilistic odds calculation risks.
We love deterministic life kuwa mwisho wa mwezi utalipwa Bei gani,jioni utakula Nini,muda fulani utafanya Nini.
Pia kuwa contRolled kinidhamu. Mtu anasoma mapishi anapiga vibarua anafungua restaurant yake ya maana.
We're poor not because of environments but because of our internal mind environment
 
Yaani mawazo ya KIVETA ni gereji tu. Wenzako tunawaza kufungua makampuni makubwa wewe unawaza duka la spare za pikipiki mweeeee. Ila watu wa VETA, kweli wanamawazo ya level ya VETA.
 
Ulishapata ajira mkuu?
Maanake umesota sana
 
Back
Top Bottom