For those working abroad or anyone with experience on this ,help please. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

For those working abroad or anyone with experience on this ,help please.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by prakatatumba, May 9, 2012.

 1. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  I was applying for sales job at South Africa, then i was required to fill certain form but i have problem on the following issue;

  First Name: so i put my name here
  Middle Initial:
  Last Name: my last name here
  Address Line 1: what do i put here
  Address Line 2: and here what do i put?
  Address Line 3: what do i put here?

  City: Dar es salaam
  zip code: what is the zip code of Dar es salaam
  State: what do I put here?
  country: Tanzania

  How would you rate your level of spoken English?


  1. Native


  2. Fluent (clarification on this)


  3. Basic (clarification on this)


  4. Intermediate (clarification on this)

  [TABLE]
  [TR]
  [TD="class: Question, colspan: 4, align: center"]Please enter at least one phone number below and check your preferred phone number
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: Question"]Mobile Phone[/TD]
  [TD="class: Question"][/TD]
  [TD="class: Question"][/TD]
  [TD="class: Question, align: left"]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: Question"]Alternate Phone[/TD]
  [TD="class: Question"][/TD]
  [TD="class: Question"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  places with red is where the problem i have!Thank you in advance!!!!!!

   
 2. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Address line huwa natumia moja(kama ni ya Tanzania)-Je, ni lazima utumie address line zote?
  Address line 1: P.O.Box 00000

  Sidhani kama Tanzania tuna Zipcode (tusikie wanaJF wengine)

  Level of spoken English - Inabidi ujaze kutokana na level yako kati ya hizo tatu in red...i.e. kama ni Fluent (Ufasaha) au hizo zingine mbili...

  Kila la kheri!!
   
 3. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  thanks Belinda, nice lips hahahah
   
 4. I

  Incredible JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 937
  Likes Received: 963
  Trophy Points: 180
  Hatuna zip au post code. wengi huwa naona wanaweka 255. jaribu uone kama itakubali
   
 5. I

  Incredible JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 937
  Likes Received: 963
  Trophy Points: 180
  Lakini waweza pokea mawazo kidogo kutokana na picha uliyoweka. Watu wengine humu JF wana maadili yao na wasingependa kupoteza muda kumshauri mtu ambaye ana identity ambayo ina waelekeza moja kwa moja kujua mantle set-up yake ikoje.

  Mimi nimekujibu kwamba jaribu 255 kwenye zip, maana nakupenda na ninakuheshimu maana wewe ni binadamu mwenzangu na mtanzania mwenzangu japo sura uliyoweka inatia kichefuchefu lakini sasa ntafanyaje kwani umekwisha umbwa na hupo duniani.
   
 6. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Mdau wewe msaidie kama unajua thts ol,mambo ya picha yake wew hayakuhusu kwani i dont think a website profile may reflect who u are definately,heb acha kuish kama babu yako (mawazo mgando)..mfano tu rais wako mstaaf anavaa cheni does that reflect his mind capability? kafanya mambo makubwa sana tu na ya kuheshimika..
  NI MTAZAMO TU SIO SHERIA!!

  good day
   
 7. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye, Address mara nyingi kwa kazi za nje wanataka physical address,
  mfano: House Number: TNDL/MTG/3434
  Street: Mwajuma Maandazi, Tandale kwa Mtogole
  District: Kinondoni
  Region/Municipal: Dar es salaam

  Zip code na state huwa zinasumbua sana, lakini kama fomu inakulazimisha basi weka 255, na state pia kama inakusumbua basi weka Tanzania ama Dar es salaam

  Hapo kwenye Lugha

  Native-inamaanisha kuwa wewe umezaliwa kwenye hiyo lugha, yaani ni kama kusema mother language ni lugha yako ya asili

  Fluent- ni kwa kwamba hauna matatizo yoyote na hiyo lugha, yaani unatiririka bila kuwa na kigugumizi chochote au kutafuta maneno

  Basic: hii ni kwamba sio mzuri kwenye lugha na unajua baadhi ya maneno ya msingi tu, ni ngumu kuelewa na kueleweka

  intemediate: ni kuwa hauko sawsawa kwenye hiyo Lugha, lakini unaweza kuelewa na kueleweka japo utakuwa na makosa ya hapa na pale, yaani hapa upo katikati ya basic na Fluent
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  no disrespect but if you cant even fill out a simple form like the one above...how would you be able to complete deals in english as a sales person....just wondering no offence tho:thinking:
   
 9. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  shukrani mkuu kitu kimetiki
   
 10. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  don judge a book with its out cover, ahsante sana but not make fallacies
   
 11. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  shukrani sana kaka nimetuma na wameniambia wameshapitia ipo poa nisubiri further contacts
   
 12. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ilikuwa siyo lazima ucomment ndugu, hujawahi kuambiwa kuuliza siyo ujinga!!!hao unaodhani wanajua kiingereza ingia google utakutana nao hawajuhi zip code ingawa wamezaliwa uzunguni, dont shows how afraid and fool u r!!!sorry no disrespect but just wondering
   
 13. h

  hukumundo JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 267
  Trophy Points: 80
  Katika nchi nyingi, nchi nzima imegawanywa katika maeneo ambayo hupewa nambari maalum. Nambari hizo huitwa zip codes. Hii ni tofauti kabisa na code ya simu. Ni code ya physical area. Anuani za mahali huonyesha nyumba iko katika kiwanja/plot numba gani (msitari mmoja), na pengine jina la jengo au complex (msitari mmoja), mji/kijiji, zip code, na jina la nchi.
  Kwa huku kwetu Bongo tuna utamaduni tofauti wa anuani kwa sababu barua zetu tunachukulia au posta au kazini, hali kadhalika hatuna mazoea ya kutambua mahali kwa kuonyesha nambari hizo tulizozitaja hapo juu. Kwa hivyo jaribu kitu chochote kitakachofaa. Kuna fomu ambazo zitakuacha usijaze zip code, na nyingine zitakuacha ujaze sanduku la posta.
  Juu ya lugha, jipime kama u mahiri kabisa huna tatizo la matumizi ya lugha hiyo katika ngazi zote -fluent, kama unaweza lakini kuna matumizi mengine yanakushinda - sema intermediate. Na kama una cha kuombea maji tu, kuagiza chakula mgahawani, kuulizia mahali unapotaka kwenda, kununua tiketi, nk - basic.
  Kila la kheri
   
Loading...