Bora urudi rivas
Unahamia kwa nani vile?
Hahahahaaha mke wa mtu huyooo
Kipi hicho mkuu?
Hebu tuhabarishe basi!
hahahahahahaha baba paroko utavunja mbavu zangu
gogo kuludi juu majanga
lakini mimi naweza kulala popote
Nasubiria matokeo ya utafitiyani nivutiwe nawe afu nihame kwa mwingne loh! Nakufanyia utafiti!!
Kama kuna mtu mjing.a basi ni yule ambae anahamasika na kujiingiza kwenye uhusiano kwasababu tu ya avatarBtw- ulivyosema ni kweli kabisa ,ushauri murua tena hizo avatar za warembo ndo wengine hoi bintaabani !tumeshashuhudia hapa thread kibao watu wakipondana baada ya kukutana huko na ni sababu hiyo ya mategemeo makubwa!!
Kazi yangu ni kuwasaidieni kuishi maisha mazuri na kuongeza siku zenu za kuishi kwa kucheka hivyo usijali we cheka tu mama
Hapo nilipobold
Bado suala ni lile lile tu
Mtu anaweza kukuona wewe ni mwanamke unaefaa sana
Lakini swali la kujiuliza ni je unamaanisha haya ulyosema au ni longolongo tu?
Kuthibitisha hilo ni kazi ya atakaeaua kukusarandia!!
kweli nayamaanisha niyasemayo baba paroko lakini mimi hawanisarandiagi humu sijui kwanini may be avatar yangu haiko romantic
Aaahh..Jamani umentoroshea kindege changu
Huu ushauri unaonesha huyu ni mwanamke aliyekua kiakili na kimwili piaHii hainihusu. Nimeingia jeiefu na bigijii yangu inafaa kupuliza, ikipungua utamu naongezea sukari guru. Cha kutema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa? Akhuuu!
I have made good friends on jf. Lakini umenena, kila mtu Ana tabia zake. Hatufanani, tunachukuliana kwa upendo. Usitangulize mapenzi or rather tamaa za mwili kabla ya urafiki. Kuna mtu Ana thubutu kukutamkia 'i ravu yuuu' afu next week yake anakurarua kwenye thread hadi unabaki kucheka Tu. Personalities hazina Ku-act bwana, when you are pushed to the limit your true character shows.
I heti yuuuuuEiyer mdogowangu, I ravu yuu tuu!