For Teamo and Co: Baadhi ya imani potofu kuhusu uzazi na watoto

athari yake ni kuwa watu wanafuta vitu kutokana na hofu......nidhamu ya woga. sio kwa kuelewa maana.

Nakubaliana na wewe DC lugha lazima iwe sambamba na maendeleo ya kijamii, lakini isiwafunge watu sana kwenye woga kiasi cha kuwa wakashindwa kujitambua au hata kushindwa kufanya jambo walilokatazwa pale inapolazimu.
 
mtu haruhusiwi kuomba chumvi jioni

my take:

ni aibu kwa mwanamke mpaka jioni chakula kinatakiwa hujamaliza kupika kwa kuwa huna chumvi. Kuficha aibu unamwambia jirani unaomba dawa!

Unasema dawa coz' ni dharura...Kama ugonjwa vile.
 
na kumpaka mtoto wanja aidha kwenye nyusi nao kunazuia nini? waswahili twapenda sana!!

namaba nne ya kwanza kweli ni mambo impossible......sasa utakuwa watafuta nini duh!!! iamani zingine we acha tu!
 
Sio wewe tu! Hata mm.....sasa mpaka umpige mwanao na uume unatafuta nn? Hahahaa..bsh*t

it is pure BS!....huo wa kumpiga mwanao na ub** ni utaahira moja kwa moja.
Kufagia nyumba usiku nyumba zetu miaka ile zilikuwa zina sakafu ya udongo na madirisha nyingine zilikuwa hazina au ya ushahidi tu hivyo ni vumbi mtindo mmoja na mafua tele!
 
Kwa dot.com hiyo ina-apply kabisa. Ila kule kwetu Chanyamuhilika, Tewe, Ubiri, Ujita n.k bado lugha ya picha na vitisho ndiyo inayosomeka.

Kuna jamaa alinambia kuwa Africa baso iko mwanzoni mwa mwaka 1800. Sijui kama alikosea.
 
Kuna nyingine, ila nadhani ilikuwa ni utani zaidi.

Kwamba kama unaumwa macho, basi chukua kidole chako uingize kwenye nanihii ya ma wife wako utoe majimaji upake kwenye macho. Kwamba hiyo ni dawa ya macho.

Ngoja nisubiri wataalamu wanipe maoni kabla sijaiongeza.
 
na kumpaka mtoto wanja aidha kwenye nyusi nao kunazuia nini? waswahili twapenda sana!!

namaba nne ya kwanza kweli ni mambo impossible......sasa utakuwa watafuta nini duh!!! iamani zingine we acha tu!

it is pure BS!....huo wa kumpiga mwanao na ub** ni utaahira moja kwa moja.
Kufagia nyumba usiku nyumba zetu miaka ile zilikuwa zina sakafu ya udongo na madirisha nyingine zilikuwa hazina au ya ushahidi tu hivyo ni vumbi mtindo mmoja na mafua tele!

Hivi mnaamini kwamba infanticidal behaviour ziko nyingi? Mfano mzuri ni kwa simba.

Hata hivyo, hii kitu watu wanaamini kuwa ilikuwa inatumika kuwamaliza watoto ambao mama zao wamekuja wanawanyonyesha ili wasichelewe kuzaa. It was against lactation amenorrhea (kwa wanawake ambao hawawezi kuona siku zao hadi waache kunyonyesa).
 
hahah ppl u r sick! lol

mie najua nyengine it goes like this " yes yes yes, mzungu hali fenes, akila fenes huja*ba upes"
:A S 13:
 
hahah ppl u r sick! lol

mie najua nyengine it goes like this " yes yes yes, mzungu hali fenes, akila fenes huja*ba upes"
:A S 13:

Hebu weka vizuri hapo Teacher,

Wenzio tulikuwepo toka miaka ile ya 47, ...so lugha ya dot.com inaweza kupita kando.
 
sasa si unataka i rhyme!

ni "mzungu hali fenesi, akila fenesi, huja*ba upesi"

dont shoot me ppl....i used to sing that one when i was a kid!
 
haya sasa si ni mauaji au? .........:hand:
 
sasa si unataka i rhyme!

ni "mzungu hali fenesi, akila fenesi, huja*ba upesi"

dont shoot me ppl....i used to sing that one when i was a kid!

Huku kwa kawaida, yaani kutoa hewa au ni yale mambo ya Infii?
 
Kuna nyingine,

Ukimchungulia baba au mama yako akiwa uchi unapofuka
 
ukiishona nguo iliyomo mwilini ni sawa na kujishonea sanda ( you will die soon)
 
duh mkuu we kiboko...umetoa wapi hizi....kuna ile nyingine inasema ukipiga mluzi usiku nyoka wanakuja...hii sijui ilikuwa ina maana gani
 
duh mkuu we kiboko...umetoa wapi hizi....kuna ile nyingine inasema ukipiga mluzi usiku nyoka wanakuja...hii sijui ilikuwa ina maana gani

Kweli hiyo ipo, ngoja nitaiongeza.

Nadhani ililenga kuwafanya watoto wawe na adabu. Wasiwe mbuzi huria kama watoto wa kizungu.
 
Halafu kuna hii nyingine (natanguliza samahani kwa wakereketwa wa mambo ya gender),

Kama unaenda safari, mtu wa kwanza kukutana naye akiwa mwanamke (na hasa hasa vile vibibi) bas safari yote imeinga mikosi.

Kwa wale wenye wake wengi, walikuwa na mmoja ambaye analeta bahati nzuri (hana mkosi. Kwa hiyo endapo mtu anasafiri au anaenda kuwinda, basi siku ya kuamkia safari lazima akalale na yule mke mwenye bahati ili mambo yaende mswano. Wakina Shekh Yahaya wanaendeleza haya mambo kupitia nyota. Kwamba kuna wanaume wanasafiria nyota za wapenzi au waume zao. n.k.....
 
hiyo mie naijua ....

ukiwa unaenda safari ukikutana na 'shoga' njiani wakati wowote wa safari yako...............imekula kwako! na iwapo atakusalimia ndo bora ugeuze tu kabisa
 
hiyo mie naijua ....

ukiwa unaenda safari ukikutana na 'shoga' njiani wakati wowote wa safari yako...............imekula kwako! na iwapo atakusalimia ndo bora ugeuze tu kabisa

Shoga kwa maana yetu ya kiswahili au haya mambo yao ya kijinga.. gay?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…