Ww...!!!! mwanamke hajivui gamba anavuliwa na mwanaume, unajua gamba la kike liko wapi? Finest
akuonyeshe/ akuvue not urself
nina miaka 30,kabila mhaya,dini mkristo roman,hapo vp sweatlady
Uchumi ukiyumba itakuwaje utaacha mke??Wadada mpo,nimechoka kuishi pekeyangu,nataka kuwa na watoto sasa,mambo ya uchumi yapo safi,natafuta mdada alie tayari tuanzishe familia,awe wa kabila,dini yoyote,ila asiwe mhaya tu,umri not more than 24,nipo Arusha
Duh nimeboreka sana,i real need a woman in my life,
Alie tayari pls pm me
chapa lapa mkuu. Humu hakuna mchumba mwaya.
Wadada mpo,nimechoka kuishi pekeyangu,nataka kuwa na watoto sasa,mambo ya uchumi yapo safi,natafuta mdada alie tayari tuanzishe familia,awe wa kabila,dini yoyote,ila asiwe mhaya tu,umri not more than 24,nipo Arusha
Duh nimeboreka sana,i real need a woman in my life,
Alie tayari pls pm me
nitumie bank statement yako yatangu miaka
mitano iliyopita.. Usisahaupepar zote za business zako..
Na kama umeajiriwa nataka kuona payment slip..
Nyumba ngapi unazo?
Je ni toyota au mcdz benz?nani ya mwaka gani?
Ngapi$$$$$$$$ utanipa kwa shopping kila wiki?
Je holiday mbili za mwanzo utanipeleka wapi?
Last but not least... Navaa dhahabu tu gold inafanana
na ngozi yangu kwahiyo sataki...
andika tu kizungu mpenzi wangu, si unajua tena sie ni NSHOMILE bwanaNa hao wahaya mbona huwapati kaka hata usingesema. They are so picky kama huna taharifa.
Kasema hataki wahaya, sasa unajipeleka kufanya nini ?!!