For programmers/IT the huge collection of ebooks by C++

For programmers/IT the huge collection of ebooks by C++

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,523
Reaction score
2,165
I try to fix some links please
.
some contain VIRUS........
Capture.PNG
CaptureFFFF.PNG
FFF.PNG
 
Ngoja niisake pc yangu nianze kuzishusha....
 
tatizo ni collection kubwa mno kwa hiyo inabidi mtu uwe makini katika uchambuzi manake huwezi ukasoma vyote.

Mkuu wewe kuwa na references nyingi ni tatizo? Basi tumetofautiana sana, mimi napenda ninapokuwa nasoma niwe na vitabu vya rejea vya kutosha, hapa nitakuwa na uwanja mpana.
 
Mkuu wewe kuwa na references nyingi ni tatizo? Basi tumetofautiana sana, mimi napenda ninapokuwa nasoma niwe na vitabu vya rejea vya kutosha, hapa nitakuwa na uwanja mpana.

Usomaji ni technique kila mtu anayo yake na anaamini yake ndo bora zaidi. Hivyo vitabu vina kurasa zaidi ya 400 kila kimoja kwa hiyo kama ndo mtu anaanza kujifunza programming ni rahisi kukosa mwalekeo sahahi.
 
nimefikaje apa? sielewi nichangie nini.cu
 
Back
Top Bottom