For our sisters and mother! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

For our sisters and mother!

Discussion in 'JF Doctor' started by Nyalotsi, Oct 20, 2011.

 1. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  Kuweni na tabia ya kujikagua matiti kuepukana na matatizo ya advanced breast cancer. Pia toeni elimu kwa mwanamke yeyote unayefahamiana naye kwa wale wanaojua. Coz u may find a breast lump when examining a woman with other medical condition na ukimuliza anasema hajawahi kujigundua. Na usikubali doc akufanyie incision kama hajafanya vpmo vya kutosha. Its so painful meeting a woman with advance breast cancer wakati it z posbl to excise in early stages.
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mungu akuzidishie busara na upendo! Amen
   
 3. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  nashukuru mkuu.. Nadhani utajitahidi kufanya hivyo. Mkiwa kwenye vikao vyenu, saloon na sehemu zingine,badala ya kupeana habari za unyumba unavyoendelea nyumbani kwako elimishaneni namna ya kucheki uvimbe ndani ya titi.
   
Loading...