For men when it comes to marriage, physical appearance becomes an added advantage!!

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
I have gone through Dumelambegu Thread which tries to seek opinions from JFmembers as to why most of the extremely beautiful women remain single indefinitely. Most of them do not simply get married. It sounds to me like men consider 'behaviour' as the most crucial attribute for a long-lasting relationship and physical appearance is simply considered to be an added advantage when it comes to looking for someone to get married to. But again, the story becomes different when the intention turns to 'hit and run' business. In that case, a man normally looks for a physically beautiful woman. This is what I can conclude from Dumelambegu's Thread. Any comment(s) please!
 
Hehehe!Kweli Mungu hamnyimi mtu vyote!

Kuna dada nilisoma nae Engineering UDSM miaka zaidi ya 10 iliyopita. Sura yake ilikuwa kama mwanaume. She was not attractive whatsover. Lakini akaja kuolewa na jamaa yetu mmoja kwenye darasa hilo hilo. Jamaa alikuwa very handosme na kila mtu alishikwa na mshtuko mpaka tunamaliza masomo. Mwaka juzi nilionana nao Morogoro eneo la Msavu wakiwa kwenye private car pamoja na watoto wao watatu. Walikuwa wanapendezea sana. Siyo siri, nilimsifu Mungu kwamba hakika kila mwanadamu hapa Duniani amemjalia jambo fulani. Kwa hiyo, nakubaliana na wewe.
 
Wasichana wazuri sana kwa umbo wana maringo kupita kiasi. Ndiyo maana jamaa wanaamua kuwachapa na kusonga mbele bila kuoa. Lakini kwa wale wenye tabia nzuri wanaolewa tena haraka sana.
 
mimi mbona ni mzuri sana na niko fresh kila idara na nina uhakika nitaolewa mwakani? think twice or more!

Glory to God
 
Mhmm mimi I beg to digress......... kama ni kweli wasichana wazuri mostly ndio wanaobaki bila ndoa, I believe its because they are "too picky" na sio kwamba the lack character kuliko hao wengine.
 
now i have proved that, uzuri wa sura na umbile kwa mwanamke haum-guarentee kuolewa hata kiduchu.
Kweli Mungu mwacheni aitwe Mungu
Ana maajabu kwa kila kiumbe chake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom