Dah! nimefurahi sana kukutana na jukwaa hili pamoja na elimu nzuri ya ndugu Njiwa.
Binafsi nimemaliza mwaka wa kwanza mwezi huu mwanzoni na nilipata dondoo hizi kipindi niko semester ya kwanza japo sio kwa kina sana, nilijitahidi kujua hasa kuhusu hili swala ilanilikosa msaada mpaka leo nilivyokuta ukurasa huu na mijadala yote ilioendelea kipindi cha nyuma!!!
Inaonekana kdogo challenging ila nilidhamilia kuanza mchakato huu ila kwa sababu hapa wengi ni masenior wangu pamoja na kiongozi Njiwa mwenyewe sijui mnanishaulije kuhusu hili swala??